Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Wivuuu 😂 😂 😂Hayo ma cement yenu ya kichina majengo kila siku yanaporomoka mnapoteza tuu fedha maana halichelewi kudondoka
Haipiti miezi 6 tunasikia ghorofa limeporomoka Nairobi uliwahi kusikia wapi ghaorofa limeporomoka Tanzania? Sitaki kuamini kuwa kenya hakuna ma engineer wazuri hapana bali ni udhaifu wa bulding materials ndio maana saruji ya Kenya ni marufuku kukanjaga TanzaniaWivuuu 😂 😂 😂
eti building materials, kilaza amefika huku., amini unachotaka, ukiamka utapata bado Tanzania iko chini ya Kenya hadi kiama.,Haipiti miezi 6 tunasikia ghorofa limeporomoka Nairobi uliwahi kusikia wapi ghaorofa limeporomoka Tanzania? Sitaki kuamini kuwa kenya hakuna ma engineer wazuri hapana bali ni udhaifu wa bulding materials ndio maana saruji ya Kenya ni marufuku kukanjaga Tanzania
Sasa nini kitaporomoka hapa?Hayo ma cement yenu ya kichina majengo kila siku yanaporomoka mnapoteza tuu fedha maana halichelewi kudondoka
ignore the haters.., ni wivu inamtatiza.Sasa nini kitaporomoka hapa?
Gorofa haziporomoki Tanzania sababu hakuna gorofa za kuporomoka View attachment 1948510
Waah mimi nikipata jibu kama hii nalog out JF for 1 year[emoji23][emoji23]Sasa nini kitaporomoka hapa?
Gorofa haziporomoki Tanzania sababu hakuna gorofa za kuporomoka View attachment 1948510
Haipiti miezi 6 tunasikia ghorofa limeporomoka Nairobi uliwahi kusikia wapi ghaorofa limeporomoka Tanzania? Sitaki kuamini kuwa kenya hakuna ma engineer wazuri hapana bali ni udhaifu wa bulding materials ndio maana saruji ya Kenya ni marufuku kukanjaga Tanzania