Fredrick Ishengoma
Member
- May 6, 2012
- 80
- 82
Unfortunately, hii project haikuwa successful, paka wa kwanza kutumwa aligongwa na Taxi, na CIA ililose zaidi ya 20 million dollars. Project ilifungwa.
Israel nao wamekuwa wakiwatumia wanyama kwenye intellijensia yao. Na, ni majuzi Turkey walikuwa wanalalamika wanakuwa spied na Israel kwa kutumia hawa ndege wanyama.
Observation: Kama wamarekani walikuwa na teknolojia hii miaka ya 1960, you can imagine watakuwa wame advance kwa kiasi gani kwenye mambo kama haya. Lakini, what is our status Tanzania? Do we have such projects going on in our intelligence? Wale panya wa SUA nadhani kama wameweza kuwatrain kutegua mabomu, then wanaweza kuwatrain kwenye project za kiintelijensia kama hizi.
References:
- Julian Borger Project: Acoustic Kitty September 11, 2001, Guardian Unlimited The Guardian Newspaper
- The Agency: The Rise and Decline of the CIA, John Ranelagh, rev. ed., New York: Simon & Schuster, 1987, at p. 208.
- Acoustic Kitty - Wikipedia, the free encyclopedia
:A S-coffee: