U Ujugu Member Joined Jul 8, 2012 Posts 37 Reaction score 7 Jul 13, 2012 #1 Nahitaji kusoma mambo ya kuandika proposal kwaajili ya kuomba fund yakuanzia projects.Je kwa Mwanza nnaweza kupata chuo kinachofundsha fani hiyo.
Nahitaji kusoma mambo ya kuandika proposal kwaajili ya kuomba fund yakuanzia projects.Je kwa Mwanza nnaweza kupata chuo kinachofundsha fani hiyo.
N Ntu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,001 Reaction score 650 Jul 13, 2012 #2 Mkuu nenda hapo mwanza Buhongwa kama sikosei kuna centre ya ESAMI wanatrain, wanamaprof wazuri kweli kutoka all over the wold depending na ur interest! goodluck...!
Mkuu nenda hapo mwanza Buhongwa kama sikosei kuna centre ya ESAMI wanatrain, wanamaprof wazuri kweli kutoka all over the wold depending na ur interest! goodluck...!
U Ujugu Member Joined Jul 8, 2012 Posts 37 Reaction score 7 Jul 13, 2012 Thread starter #3 Thnks mkuu