Project for PHP beginners Notes MS with source code

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information settings

Source code Inapatikana HAPA

Pia unaweza itumia kwa kuanzisha mtandao wako (tovuti) ambayo inawapa watu uwezo wa kutunza taarifa zao ili hata wakiama device wanaweza kuzipata popote (cloud notes system)

Installation information nimeweka hapo

Ila hiyo version ya kwanza inamapungufu ambayo nimeshayafix na ninaongeza feature ambapo nitarelease version 1.1 soon ikiwa more stable kwani nitarahisisha installation with one click na baadhi ya features

DEMO
 
Functionality 6/10 ,UI 2/10 keep it up,
 
Unanyama sana hii system japo developer haja release v1.1 mpaka leo na kuna security vulnerabilities kama xss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…