sikujui hunijui,hujui tabia yangu sijui tabia yako.nitoe pesa hata kama ni ndogo kiasi gani ni very hard for now.the simple way ni kwenda kwa angel investors ,DSE wana hiyo kitu also kuna kitu ama aina ya mkopo unaitwa rasilimali ambapo unapewa pesa ya kununua asset na asset inakuwa inalipia.