Project funding sources

Nashukuru sana kiongozi, inahitaji moyo sana kufuatilia na kuwafanya watu waelewe concept unayoitaka na kukubaliana na mawazo yako. Dedication, commitment, consistence na hardwork ndio inaleta matokeo sasa...
Mzuzu, kiwanda kinaanza kazi lini mkuu? Pongezi sana.
 
kaanz
kaanzishe thread tofauti mkuu acha kuvuruga thread za watu. Niai watch hii thread kwa makusudi sababu mdau ameongea vitu vya msingi sana sasa wewe unakuja na mambo yako ya DECI hapa
 
Kwa wale watakaohitaji mchanganuo wa mahesabu wa uhakika kwa ajili ya kupeleka benki basi utaupata ndani ya wiki moja mara baada ya kutoa data zote zinazohusiana na mradi wako. Gharama ya kutengeneza mchanganuo ni asilimia 1 ya mtaji wa biashara.

Tuwasiliane kwenye namba yoyote kati ya hizi 0658 977 330 au 0772 977 330
 
Nilikua na interest sana ya kilimo cha mihogo (njia ya kilwa) ndio kilichonifanya nianze kufanya research na nashukuru kukutana na hii post, sikua na uvivu wa kuifatia mwanzo hadi mwisho.

Hongera sana kwa kufanikisha mpaka kufikia hapo na Mungu akutangulie kwa kila jema.

Nataka kujua zaidi soko kwa sasa likoje na mnanunua bei gani?? Na jee naweza kua supplier na procedure zipoje??

Thank you in advance
 
You must be kidding acha tamaa utaziota sana hizo asilimia moja. Kwa mtu amabye unataka asilimia moja hata tovuti ya biashara huna wala ofisi. Acheni masihara na hela
 
Nashukuru sana kiongozi, inahitaji moyo sana kufuatilia na kuwafanya watu waelewe concept unayoitaka na kukubaliana na mawazo yako. Dedication, commitment, consistence na hardwork ndio inaleta matokeo sasa...
Habari mkuu, naomba nisaidie email yako au mawasiliano yako ya karibu.
 
Hi guys!
Nina proposal ya KILIMO cha Kahindi, mpunga, Alizeti, mtama, matunda, miti na hifadhi ya Ardhi. Je kuna MTU mwenye idea wapi tunapoweza kuzinadi na kusaidia wahanga wa kitz?
 
Wadau nimefurahi sana kwenye jamvi hili na ushauri mnao toa, binafsi nina Mradi wangu wa poultry farming hasa kuku wa kienyeji naamini soko lipo kubwa maana watu wengi wanaondokana na matumizi ya Bloiler nina Incubator machine ya capacity ya mayai 5280 na mabanda yapo fenced ya kuweza kufuga kuku 1000. ila nahitaji capital ya kupata Hatchery na chakula cha kuku. Nina Nyumba yenye thamani ya Mil 25 ila haina hati. Je nawezaje kupata fund walau ya tsh 15 million. Napatikana Mwanza.
 
Nafikiri bwana Paul Mashauri mcheki Facebook anaweza kuwa na msaada mkubwa kwako. Ana kampuni inayokopesha mashine kwa hiyo unaweza ukapata hatchery. Kuhusu chakula cha kuku kuna mdau mmoja naye leo nimemuona Facebook anaweza kuwa na wazo jinsi ya kutengeneza chakula kwa gharama nafuu cheki hii post https://www.facebook.com/
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri huu na nimefanikiwa kumpata Bwn Paul Mashauri
 
mradi wako huu wa muhogo umefikia wapi?
 
duh nimependa sana mawazo yanayotolewa umu jamvini na watanzania wanaopenda watanzania wenzio waendeleee katika safari ya mafanikio

mimi pia nnaomba ushauri kwani nataka nianzishe taasisi itayojishughulisha na masuala ya kutoa elimu mitaani elimu iyoo ni ya masuala ya afya ili kuweza kuzuia jamii kujikinga na magonjwa mbalimbali ya kuambukiza na yasiyoambukizwa kabla hayajawakumba pia italenga kutoa elimu ya uzazi kwenye jamii kwa jinsia zote
kampuni ndo ipo kwenye hatua za mwisho za usajili na soon napata cheti
changamoto iliyopo ni namna ya kupata funding kwenye project tutakazokua tunazifanya na gharama za uendeshaji taasisi kwa ujumla. taasisi itaanza fanya kazi dodoma ila shida ni source of funding kwa ujumla

ningeomba ushauri wenu hata ikiwezekana msaada mana najua kuna watu tiari wameshafanya ivi vitu sehemu mbalimbali wapo umu na wengine wana uzoefu wa hali ya juuu
ahasanteni....
 
Naomba kuwauliza wadau kama focus vikoba ni ya kweli au utapeli?
 
Good idea!
In entrepreneurship, wazo = uwezo Wa kulikamilsha!
Kama wazo is greater than uwezo wakulitekeleza, tunasema wazo lako is just dream ambazo wengi wanayo na wanakufa maskini,
Therefore wazo should be less or equal to uwezo Wa kulitekeleza! ili kupunguza stress za sources of fund, ambozo znaweza kukupelekea kukataa tamaa,
Creditors wanataka wazo linalotekelezeka!
All the Best!
 
Nashukuru bro this shall be very proffessional I promise
mkuu uzi wako niliupitia kipindi cha nyuma na leo nimeukumbuka tena.je ulifanikiwa katika kuendeleza mradi?
je kama ulifanikiwa,unanunua mihogo kutoka kwa wakulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…