Ninahusika kwa karibu na mradi wa C:AVA unaofadhiriwa na USAID na kutekelezwa kwa ushirikiano kati ya CPE-UDSM na Greenwich University. Lengo lake ni ku-diversify na kupromote cassava in Africa. Kwa hapa Tanzania tayari kazi inaenda vizuri na viongozi wa kisiasa kukubali kupeleka mswada wa kutaka kila confectionery iwe na angalau 20% ya unga wa muogo ili kupanua soko la ndani.
Kwa ufupi, naomba tuwasiliane Mkuu
Mkuu ndio tunajitoa muhanga hivyo tunataka support yenu mliopo kwenye gemu na unajua vijana wengi tunafikiria vimiradi vya kutupa rizki tu hatuendi mbali kufanya miradi yenye impact nzuri hata kwa uchumi wa taifa letu. Uaminifu kweli ulishapotea ndo maana hata sasa tunapojiinua kuthubutu ndo vikwazpo vinakuwa vingi lakini hope kwa mawazotunayopata sasa najua tutafanikiwa tu na tutameet malengo!
Mkuu jumanne nitakuwa dar,je tunaweza kupanga kuonana,mambo mengine yanahitaji action tu.
Mkuu jumanne nitakuwa dar,je tunaweza kupanga kuonana,mambo mengine yanahitaji action tu.
Mzuzu,
Niko kwenye kesi kama yako. Nataka kufanya project ila sema ni tofauti kabisa. Umenipa nguvu ya kutokata tamaa. Hongera kwa kutupa wengine ari ya kuumiza kichwa na kusonga mbele.
kuKumbuka ukifanikiwa basi itakuwa moja ya project itakayoonyesha wa JF ni kweli Jamii forum. Si kupita na kuongea blaa blaa siku zote. Baada ya kukatishwa na wanasiasa jana, leo nimeisoma hii habari na kunipa faraja. Kweli Watanzania tunaanza kuamka. Kwenye njia pana njia. Tatizo wengi hutaka kupita short cut kwa kutapeli au kuiba. Wengine wanaamua kuomba kazi ya kulala bungeni na kuchukua posho mbili mbili. Hizi siku zikiisha, watabaki watu kama wewe wenye kutaka kuiletea maendeleo ya kweli Tanzania.
Ngoja niitunze hii thread kwa future. Itakuja kuwa ni Bench Mark ya kuanzia kupata mawazo ya mwenzetu alianzia wapi na kafikia wapi. Na kama alikwama basi alikwama wapi. Documents zote mkuu uziweke na ikibidi huko mbeleni uje uwawekee wengine wapate shule ya BURE (kama utataka).
Again, all the best.
Asante sana kwa mawazo yenu, mie pia ninajaribu ingawa anavyosema Malila nimeanzia small scale, sasa nilinunua ardhi nijitanue kidogo lakini nimeingia mgogoro na mhindi mmoja mbaye ameibuka na kusema heka 400 nzima za kijiji ni zake, suala hili analishughulikia mbunge wetu mahakama ya ardhi, ila inaenda slow, nimekata tamaa nao, sasa ningependa kushika tena ardhi ili niweze kuendelea na mradi wangu ila nahofia hii kutokea tena.Ipime ardhi na uipatie hati miliki itakuwa ni security tosha na utapata mkopo
Asante sana kwa mawazo yenu, mie pia ninajaribu ingawa anavyosema Malila nimeanzia small scale, sasa nilinunua ardhi nijitanue kidogo lakini nimeingia mgogoro na mhindi mmoja mbaye ameibuka na kusema heka 400 nzima za kijiji ni zake, suala hili analishughulikia mbunge wetu mahakama ya ardhi, ila inaenda slow, nimekata tamaa nao, sasa ningependa kushika tena ardhi ili niweze kuendelea na mradi wangu ila nahofia hii kutokea tena.
Je nikitaka kusajili shamba ninaanzia wapi, nimeonyeshwa wilaya ya Kibaha ni ardhi nzuri, naomba mnisaidie hapa.
Hapo kwenye blue colour. Mimi nilishathibitisha zamani kuwa jf ni kwa ajili ya jamii. Kupitia jf mimi nimepata members watano ktk project moja ninayofanya. Wengi wameibiwa mno kiasi kwamba kati ya watu kumi unaweza kupata waaminifu -ve kabisa. Ila wapo vijana wenye fedha na idea nzuri wamekosa partiners ktk biashara na miradi.
Avatar yako nimeipenda sana, naifanyia kazi sasa hivi.
Malila,
Hiyo ni kawaida kabisa duniani kote.
Kuna jamaa yangu aliniambia jinsi jamaa mmoja huko majuu alivyodanganywa na kuachwa hoi. Alikuwa ashirikiane na Wageruman katika ujenzi wa highyway. Akachukua Mkopo mkubwa sana na kununua vifaa vya hela nyingi sana. Pesa zilikuwa zizje kutoka kwa Wajeruman kwa ajili ya kugharamia gharama zote kwa siku za mwanzo. Jamaa wakajitoa na jamaa akabaki na vifaa bila kujua afanye nini. Nasikia alikuwa kasimama kwenye BMW lake kali sana na analia kuwa "nimefilisika".
Hivyo hilo la waaminifu na wasio waaminifu inabidi ujaribu kulipunguza maana hutakuja kufanya kitu wala kuowa.
Juu ya AVATAR, yaani hiyo picha, kama kweli umeipenda basi naweza kukutumia yenye HIGH QUALITY maana nilipiga mwenyewe na ninayo hiyo picha. NiPM na uweke email yako ntakutumia bila wasiwasi.
Vinginevyo niseme ni vizuri kufahamu watu unaoweza hata kuwaomba mawazo na ushauri. Tuko pamoja kwa hili na niwatakie tena mafanikio mema ili muwe moja ya Bench Mark (point of reference) ya JF.
Salam,
Ata mimi nipo katika kuanzisha mradi huohuo,na kuna wachina wanajenga viwanda vya cassava starch production dunia nzima na sasa wanajenga kimoja cha 150 tonnes per day Eddo state Nigeria.
Wamenitumia full proposal ambayo ina bei na ata matumizi ya kiwanda kwa mwaka na mapato yake.
kuna uncle wangu amenipa mabenki ambayo yapo tayari kufund icho kiwanda nimetembelea Mkuranga kule kuna umoja wa walima miogo (mohogo Saccos) hawa na Uongozi wa Wilaya(serikali) wapo tayari kuwa wabia.so tayari kumbe kuna groud ya kuifanya project ipatiwe funds.
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe pia amekubali kusaidia na kutoa land ya kiwanda soko la unga wa muhogo ata apa Tanzania lipo kubwa tu, jua ya kuwa tomato paste,chill,cone za baresa na sausege azitengenezwi bila muhogo.
Let us meet and team up, tufanye pamoja mimi source ya funds ninazo.
But at this time nna other 4 projects nazifanya so hii ya kasava ningependa kuifanya na mtu
please let us meet
HTML:MZUZU unaweza kunicheck kwa email: baraka.baraka@yahoo.com
HTML:Haina shaka mkuu wangu nakucheck sasa hivi
Mbona kimya mkuu?