Project mbalimbali za kuibomoa CHADEMA zimefanikiwa kiasi gani?

Nyongeza (haya ni mawazo yangu na yanaweza yasiwe sahihi). Kwenye MFUMO kuna watu wanailinda CHADEMA kwa kificho kwa sababu wana akili na wanajua ikifa yatatokea madhara makubwa kwa nchi.
Hii ni kweli...

Huwa wakati mwingine viongozi wa juu wa CHADEMA anaweza akawa anapanga Kwenda sehemu flani... Ghafla anapata sms kwa number ambayo haijui na hata haijasajiliwa...ukienda huko usile chakula..au maji

Ni hao watu wanajaribu kuwakwepesha na kitu flani
 
Hizo inside information zimewaokoa wengi na zimekiokoa chama kwenye mengi
 
Umeharibu mkuu. Sio hivyo.

Ukijua basi jua peke yako, sio na sisi tujue yasiyotakiwa kujulikana.

Kuanika wanavyookolewa ni kuwaharibia wasio na hatia, walengwa kwa waokoaji pia.
 
Hii yote yule mwenyekiti alieenguliwa na mwanae wanashiriki balaa kuhakikisha inayumba
 
Umeharibu mkuu. Sio hivyo.

Ukijua basi jua peke yako, sio na sisi tujue yasiyotakiwa kujulikana.

Kuanika wanavyookolewa ni kuwaharibia wasio na hatia, walengwa kwa waokoaji pia.
Daah ...sawa mkuu...
Lakini juzi ulimsikia yule msaidizi wa Lissu anaitwa Djumbe...
Alisema alipokea sms kwamba kimbia...ndani ya siku 3 ...utatekwa na kupotezwa, akaamua Kukaa mbali na nyumbani kwake....usiku huo huo saa 8 usiku wajuba haooo...wakamkosa

Akaamua kikimbia nje ya nchi...aliporudi tuu...almanusura
 
Sahihi mkuu, ila ukimya ni dawa na ndiyo ukubwa/ukomavu.
 
nonsense 🐒
 
Ni kweli hata mimi nimeona wanaendelea na tone tone
 
Mara udini hii ni juhudi za kuharibia chadema Kwa nje ya Chama lakini Ndani ya nchi , jingine Ndani ya chadema Kwa viongozi dhidi ya viongozi, viongo6wa barabdhidi ya viongozi wa zanzibar
 
Mkuu rekebisha, cdm sio chama kikuu cha upinzani, bali ni chama kikubwa cha siasa Tanzania. Chama kikuu cha upinzani ni kwa muundo wa uchaguzi wa ccm. Cdm kimetoka nje ya utaratibu wa kilaghai wa ccm. Yaani cdm kwa sasa ni kama jini lililotoka kwenye chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…