Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,017 Reaction score 16,431 Dec 2, 2020 #161 Maxence Melo naomba mkapin hii thread maana kuitafuta kila wakati ni kazi ngumu. Mradi huu ni mkubwa na utajengwa kwa miaka miwili ijayo kwa hivyo uzi huu utakuwa active kwa miaka miwili. Sasa naomba uzi huu uwe pinned pale juu ili upatikane haraka.
Maxence Melo naomba mkapin hii thread maana kuitafuta kila wakati ni kazi ngumu. Mradi huu ni mkubwa na utajengwa kwa miaka miwili ijayo kwa hivyo uzi huu utakuwa active kwa miaka miwili. Sasa naomba uzi huu uwe pinned pale juu ili upatikane haraka.