Njoo pm ila awe tiari kuja tarime mara.Habarini...
Kuna kijana mzoefu na mchapakazi sana mwenye ujuzi wa kilimo cha kisasa cha mazao ya mbogamboga pamoja uzoefu wa kutosha katika ufugaji wa kuku wa kienyeji,
Anatafuta mdau mwenye shamba wafanye project au mwajiri wafanye kazi pamoja.
Yupo tayari kufika popote now yupo Kibaha.
Zaidi atakuwa kwenye uzalishaji na hudumaMbali na ujuzi wake nini zaidi ataofa