Project planning and management

Hiyo Ni kozi yangu na nilishaomba nafasi za afisa mipango zilizotangazwa mwaka Jana lakini nilipigwia chini, kufuatilia sababu nakuta nafasi zote 8 walichukuliwa wachumi
Kwa ninavyoelewa kwa sasa ofisi ya mipango kuna mchumi na afisa mipango
Hawa wote wanaingia kwenye hii ofisi.
Project planning ni field ambayo haijazoeleka sana hapa Nchini kwetu ila kwa sasa inakuja kasi na ukitazama vyuo vingi vimeanzisha course hii.
Zamani Afisa mipango ilikua ni lazima awe mchumi kwa kuwa hapakua na hii course ila ukienda Halmashauri kati ya aliyesoma uchumi na aliyesoma project planning,mtu wa project planning anajikuta yuko vizuri kwa kuwa Halmashauri wana deal na mipango zaidi.
 
So after let's say five years hii kozi ya Project Planning and management itakuwa marketible hapa Tanzania
 
Kwaiyo unachosema wapo maafisa mipango halmashaur waliosoma project planning and management??? Na wapo idara ya mipango?
 
Mu Quote afisa utumishi atujibie haya maswali
Kwaiyo unachosema wapo maafisa mipango halmashaur waliosoma project planning and management??? Na wapo idara ya mipango?
 
Mu Quote afisa utumishi atujibie haya maswali
1.0.3 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani
zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya Mazingira,
Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu (Population and Development Planning),
Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha, Mipango ya Menejimenti ya Rasilimali
watu, Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na Maendeleo ya Uchumi.View attachment 20212007191632TANGAZO-LA-KAZI-JULAI-2021-BAHI-1.pdf
 
Naona kuna tofauti kati ya kuwa mchumi na kuwa afisa mipango ingawa wote kwa halmashaur wapo katika ofisi moja, vigezo hivyo hapo vya kuwa afisa mipango, asilimia kubwa ni karibu kozi zote zinazotolewa chuo cha mipango irdp dodoma
 
Kwaiyo unachosema wapo maafisa mipango halmashaur waliosoma project planning and management??? Na wapo idara ya mipango?
Ndio na nina unakika na ninachokisema kwa 100%
Kuna washkaji kama 10 hivi nawajua
 
Kazi nyingi ni kwenye international organizations
Mishahara ni around million 8 an above
Uwe na connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…