Project planning and Writing

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Hii huduma naitoa kwa mdau yeyote, popote alipo Tanzania, kwa gharama nafuu kulingana na wazo la mradi wake.

Uwekezaji wowote wa rasilimali zako binafsi au za mkopo au za ruzuku/msaada unahitaji umakini mkubwa katika kupanga na kupangilia maudhui yake mwanzo mwisho kutoka wazo hadi matokeo.

Yawezekana una wazo tu lakini limekaa zigzaga..tutalinyoosha, pengine unahitaji kuboresha mradi wako ambao ulishauanza,

Na zaidi mradi wowote una hatua/phases..yawezekana kuna phase utahitaji uwezesho nje ya uwezo wako basi ANDIKO litakuongoza.

Wengi tunadharau/tunapuuza unuhimu wa written plan, tunategemea sana mawazo zigzaga tuliyonayo..hii inatupunguzia kufanya ufutaliaji na utoaji tathmini mzuri.

Popote ulipo, usipuuze tena, ila pia usiogope gharama za huduma mana ni sehemu ya gharama zako za uwekezaji. Wenzetu wanapopanga mafanikio yao huweka na gharama za ushauri iwe kisheria, kihasibu au kitabibu nk..basi hata hii wewe mwekezaji au mjasilimali weka gharama za ushauri ktk eneo hili.
ASANTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…