PROJECT PROPOSAL MSAADA JAMANI (MUHIMU)

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Mimi ni kijana! Graduate nina umri wa miaka 30 kwa sasa, lakini sina ajira ya kunifanya niishi na familia yangu vizuri, Kwakuwa mungu amenijalia uwezo wa kuandika proposal mbali mbali katika makampuni na taasisi mbali mbali, nimeamua kuifanya hii kazi iwe proffesional na pia niweze kufika mbali sana kwa hii kazi, naombeni jamani msaada niwaandikie project mbali mbali, bei zangu ni rahisi sana na maana bado najenga mahusiano mazuri na wateja, nawaombeni mnipigie kwenye 0718 282874/ 0718 282874 AHSANTENI SANA

HIZI NI BAADHI YA KAZI ZANGU
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…