lito saint
Member
- Aug 17, 2012
- 15
- 3
heshima kwenu wanajamiiforums! Nina ombi moja kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi 2nd year katika chuo kimoja jijini dsm. Nikiwa natarajia kufanya project 3rd year naomba mnieleze jinsi ya kutengeneza project proposal nzuri na pia the elements of a good project....
Natanguliza shukrani!
Natanguliza shukrani!