Project Proposal

lito saint

Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
15
Reaction score
3
heshima kwenu wanajamiiforums! Nina ombi moja kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi 2nd year katika chuo kimoja jijini dsm. Nikiwa natarajia kufanya project 3rd year naomba mnieleze jinsi ya kutengeneza project proposal nzuri na pia the elements of a good project....
Natanguliza shukrani!
 

habari yako Lito Saint, please check nami i will help dont wory 'nina ku PM' but simply project proposal ina chapter 3

1. introduction part
introduction
background to the study
statment of problem
objective of study
research questions
significant of the study
limitation of the study
scope of the study

then chapter two Literature reveiw
introduction part
meaning of the terms
theoretica review
emperical review]
critical review if any
conceptual framework
hypothesis of the study
Gap

chapter three METHODOLOTY
introduction
research design
Population of the study
sample size
sample desing
sample frame if any
sampling technique
data collection menthods
source of data
data analysis
validity, reliability and data ethick

PLEASE ukitaka maelezo zaidi jaribu kuchek nami 'gango2012@yahoo.com' au jaribu kuingia hapa https://www.facebook.com/GANGORESEARCH

NIPM PIA KWA MSAADA ZAIDI
 
asante kaka gango2 naweza pata sample moja ili nijionee jinsi project proposal ilivyo?
 
asante kaka gango2 naweza pata sample moja ili nijionee jinsi project proposal ilivyo?
ameshakwambia ump hayo mengine mtaulizana chamber sasa unataka kila kitu akuwekeee hapa hujui utaharibikiwa? ningekuwa supervisor wako ningekufuatilia mpaka hiyo paper ya kuandikiwa utapike! Manake siku hizi nasikia vijana mnaandikiwa proposal hadi dissertation kaazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…