Project writing and sourcing grants

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello JF, HERI YA MWAKA MPYA, 2015!!!

Tunashukuru kuwa Mungu ametuwezesha kuingia mwaka mwingine tena. Moja ya maombi ya kila mmoja ni Mungu kumfanikisha katika mipango yake.

Katika kufanikisha hilo, ni vema pia tukaendelea kutumia maarifa tuliyopewa na Mungu mwenyewe.

Tukiwa Kama Business/Project Development service providers tunaendelea kutoa maarifa yetu juu ya utayarishaji wa mapendekezo ya miradi (Project proposals) kwa miradi ya aina zote na kwa wateja wa aina zote.


Project writing inasaidia sana kuweka wazo la mradi katika mfumo unao eleweka zaidi kwa matumizi binafsi na/au hata kuwaelewesha wadau wengine wa Mradi husika, kama vile wafadhili au wabia katika uwekezaji au watoa fedha (financiers). Kwa ujumla ANDIKO hilo huwa kama NYENZO katika kutekeleza Mradi husika (katika hatua zake zote za mradi) ikifahamika kama "Resource Mobilization Tool".

HIVYO tunashauri wadau/watu wote wenye mipango ya kuanzisha, kuendeleza au kupanua miradi BASI wafikirie kuandaa Proposals husika. Proposals hizi huweza kuandikwa na Mtu anayeweza kufanya hivyo, ila vema iandikwe kitaalamu ili kukidhi matakwa ya wafadhili, kiutendaji, kisheria na kisera pia.


SISI ni mojawapo ya hao BDSP (Business Development Service Providers) wenye uwezo wa kui-develop proposal yenye viwango husika kwa malengo halisi ya mradi.

Kwakuwa hii ni Resource Mobilization Tool, sisi pia huweza kufanya Sourcing ya Grants au Rasilimali husika za kuwezesha MRADI husika, hivyo ni vema kujua wadau wa kufadhili au kutoa pesa ya mradi wana vigezo gani katika kutoa Funds za mradi husika. Sisi hufanya hiyo Service kama Option tu ya Mteja wetu ambaye amependa sisi tumwandikie proposal husika.
Maana wapo wateja ambao tayari wana fedha kiasi fulani au wanayo source ya kupata fedha hivyo huhitaji Write-up tu (sisi hufanya na kutoa maelekezo). ILA WAPO pia ambao wana wazo la mradi tu, au wanahitaji kufanya mradi ila HAWANA pesa za mradi, hivyo hulazimika kutafuta pesa za mradi kutoka vyanzo mbalimbali ambazo ni FURSA kwa mradi husika, sisi huweza kufanya servcie hiyo, kwa kumshirikisha mteja hadi upatikanaji wa pesa husika.

Karibu kwa huduma hizi na nyinginezo. Kwa mawasiliano tafadhari njoo PM
AU WASILIANA KWA SIMU 0652 65 65 65

 
Katika uandishi wenu, mmewahi kuandika business plan ya Kilimo?, if so, how much roughly it costs
 
katika uandishi wenu, mmewahi kuandika business plan ya kilimo?, if so, how much roughly it costs

hakuna tatizo juu ya kuandaa, siwezi jua ni bplan ya kilimo kuhusu nini? Maana katika kilimo kuna mengi sana. Sisi tushawahi kuandaa proposal za taasisi iliyokusanya vijana ili kuwakopesha ardhi, pembejeo, na pesa ya msingi wa shughuli za uazalishaji mazao fulani. Nyingine ilikuwa ni bplan ya fruits processing plant.

Kimsingi tunafanya yoyote kwakuwa hufanya studies kwanza za project husika ili kupata data za ukweli kuhusu mradi husika ili kuweza kujustify uanzishwaji wa mradi husika.
 
Kuhusu FEE ya kuandaa such Bplan, kwanza hadi tujue nature ya mradi husika, ukubwa wake, malengo ya jumla nk. Pia fees etu zinajadilika, hatuna fixed fees. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…