sam_wa_mitindo
Member
- Apr 7, 2020
- 10
- 4
Kijana amka ni kikundi ambacho kina toa elimu kwa vijana kuwa na mtazamo chanya, kujiajiri, na kujikwamua kiuchumi. Kijana amka tunapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni. Lengo letu ni kuakikisha vijana wote wanakua na mtazamo tofauti kwenye maisha kuwa weka pamoja na kutengeneza miradi yenye tija pia kutambua kipaji cha kijana moja moja
Tunaitaji wadhamini au wafadhili kwa ajiri ya kutengeneza miradi hitakayo leta tanzania ya viwanda faida ya mdhamini ataitambua pale tu atakapo kuwa tayari kutuzamini kwa maelezo zaidi no.0628181393 kijanaamkatz@gmail.com
electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote