Project ya Nyerere Hydroelectric Power iliwaonesha ELSEWEDY ELECTRIC fursa ya kuwekeza Tanzania

Unadhan haonWL SEWEDY n mafala

Wao ndio wanajenga bwawa wanajua kabisa vifaa vitahitajika na bwawa litakuwepo milele so wanajenga huku wakijua mnunuz yupo tutake tusitake lazma tununue sababu mfumo wameuset wao



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kutapatapa kumeanza.Samia sio level ya wachunga ng'ombe..

Huko Duniani anafahamika na kufahamiana na watu wengi hususani jamii za kiarabu aliko na vinasaba.
 
Naam na uo ndiyo ukweli wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…