habari wadau.. nauza brand new projector aina ya acer x 115 dlp ina lumens 3300
bei ni laki 6 kamili.
sababu ya kuuza ni sijaitumia na naona sihitaji tena.. nina biashara ya photo studio na huduma za video ambayo huwa inafanya video coverage ya ma sherehe.. projector zilinunuliwa pia zitumike...
ila nimejikuta TV hizi flat ndio tunazitumia sana ukumbini.. projector zimekuwa hazina kazi toka zimenunuliwa zimekaa tu.
nimeamua kuuza kwa bei ya hasara ndogo.. nilliagiza nje na ilinigharimu zaidi ya laki 7 na nusu mpaka kunifikia mwaka jana.. ikawa imekaa tu haijatumika kabisa kikazi... zaidi ya kujaribiwa tu
zipo 2 hizi projector..
zinafaa kuoneshea mpira, presentation maofisini, vyuoni etc
unaweza uka google uone specs zake na bei zake zikoje
ina lumens 3300
ukihitaji piga namba 0692 275 229