Samahani Mkurugenzi. Naomba ufafanuzi wa hivi vifaa.Ina mwezi moja tu toka ianze kutumika, so siwezi kukupa exact amount ya hours, na pia hii ni LED Projector ambayo ina uwezo wa kutumika masaaa 25,000 (3years)
Naomba elimu hapa mkuu.Imetumika masaa mangapi?
Ina maana hiyo bulb yake inapungua nguvu, so ni ya kubadilisha, ni kama vile taa ya kawaida unayotumia.. inakuwa baada ya muda, unabadilisha.Samahani Mkurugenzi. Naomba ufafanuzi wa hivi vifaa.
Vikitumika kwa hayo masaa 25,000 (3years), what next? Ndiyo inakufa na kuto tengenezeka kabisa, au?