nipo Dar sijui wewe?Uko wapi
haishuki hiyo mkuuHaishuki kidogo 2fanye biashara?
haina tatizoIna tatizo gani?
wewe njoo uangalie mwenyewe bado ina masaa mengi mnoImetembea masaa mangapi mkuu ?
300,000/-250000 kamata fastaaa
300,000/-
2000 na zaidiMasaa mangapi bado inayo
2000 na zaidi
sishuki zaidi ya hapo,ukitaka hata Epson ninazo ila bei yake ni juuNipo mwanza chukua hii pesa tufanye biashara
sishuki zaidi ya hapo,ukitaka hata Epson ninazo ila bei yake ni juu
laki 5Epson bei ya mwsho ni ngapi