Kwenye tangazo ni ngumu kuandika uwezo wa mzigo wote uliokuwepo,Kama ni mteja wa uhakika na si mkosoaji tu mawasiliano yametolewa ulizia unachokitaka kupata taarifa toshelezi..2. Picha unazoziona zimetolewa kwenye tangazo la awali (mahali project zinanunuliwa). unachokiona kwenye picha tunacho/tulikuwa nacho kwenye stock .na sio downloaded picture za kurembesha tu Tangazo.