mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Upatikanaji wa vipuri hasa taa yake ukoje hapa TZ? Zimetumika kwa muda gani?
zimetumika kidogo sana, taa bado ziko vizuri sana, zinamulika sana, hata mchana unaweza zitumia!
unaweza ukaitumia kwa miaka mingi tu mbeleni, kulingana na shughuli zako na utunzaji wako.
pm me or call me we can talk,mkuu,
Nahitaji sana hiyo kitu,
Tusaidiane kwa 400 basi kaka!!!