Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama



Aliota mapembe na kupanda kiburi.
 
Huduma zilikuwa nzuri, ila, as the lows power, say, "never outshine ur boss" Kibri ilimuingia akajiona Bora kuliko usharika, akatishia mamlaka zilizopo juu, ikabidi wamtulize,
Upuuzi, kama huu,huwezi, kuukuta Roman Catholic, miaka ya 90,alitokea Padre mmoja, father nkwera,akawa na kipawa akiombea watu wanapona, akaamua kujitenga na kanisa,akafungua kanisa lake, maeneo ya river side, watu wakawa wanaenda kuombewa! Na kuchukua maji ya Baraka! Nakumbuka, wazazi kibao walipereka watoto wao waombewe, na kupaka maji, ili wafsulu darasa LA Saba, wengi wakaangukia pua!
Little did they know, kwamba kipindi kile, hakuna shule za kata, nafasi, za, shule zilikuwa chache,serikali ikawa inachukua wanafunzi, kidogo! Halikuwa swala LA kuombewa ili ufaulu, wapo waliofaulu,na wakakosa nafasi vvilevile,
Fast forward Leo, father nkwela, hayupo tena,kanisa lake, lilikufa,
 
Apewe cheo cha Nabii wa Lutheran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…