FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Wapwazz na Binamuz salam ziwafikie
Tumebaki na takribani siku 5 kijana Geoff akafunge pingu za maisha (si pingu za Jerry Muro lakini msinisome vibaya).
Plan imekaaje??? mi sielewi tena Geoff tunafanyaje
Kaizer mratibu mkuu na wenzio tunafanyaje??
Msaada tutani tafadhali.
JS dear plan mbona hazina utata kabisa
swala zima wadau waleeeee mkae pamoja mkubaliane ni zawadi gani anapewa binamu ..na kama kuna watu wataenda kuwakilisha ...ni vijimambo tu vya kuwekana sawa ..Kwani Kaizer yuko wapi jamani??
Nimekugongea senksi pale FL1. Jana tulikuwa na kikao cha muda mfupi tu. Send off ni confirmed itakuwa kesho jumatano. Kuna baadhi ya wanaJF watahudhuria kuwakilisha. Michango pia si mabaya ile zawadi tunaenda kuicheki badaye na Kaizer halafu tutawasuprise wadau

Kwahiyo mnatia timu huku alhamisi au ijumaa? Mi nshaanza kuboreka huku. Kila kitu kiko ok. Wu!wu!wu! Washapatikana wa kutosha na ulanzi festi klasi. Msisahau makoti, otherwise mtadumisha mila wapwaz kwa binamuz. Totoz huku zimekomaa, hazitaki kudumisha mila na wageni. Eti zinaogopa UKIMWIz. The pillar nawasubiri kwa hamu hapa makambako. Jumamosi na ikuje sasa, hatuiogopi tena. (JS niwekee bia zangu za send off tafadhali)
Asante JS, kwa kuongezea tu ningeomba kwa ajili ya privace, muangalie kwenye emails zenu nimeshasummerize tuliyojadili jana. So please check your jamiiforums emails.
Thanks