Projekti ya Geoff!!!!UPDATES

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Thanks JS for this updates,

jamani tunawashukuru wote kwa huu ushirikiano wa hali na mali

siku ndo zinayoyoma tupo kwneye maandalizi ya safari sasa,

bado milango ipo wazi kwa ambao bado watapenda kumchangia mwenzetu!

.....the boy is counting 11 days now! Kaizer, hiyo safari itabidi mipango ikamilike mapema sana mkuu.......!
 

finally they have released you!!!
 
.....he!he!he! hapa kazi ipo....come 13/02.....ngoja nimalizie....tukipwe mwalivenyo tuhele naveeee.....!
At least kuna kitu kinaendelea hapa. The pillar was confused. Mara hii malijendi wa kisiasa na wataalamu wa matusi ya kidini wameliteka jukwaa? Lolz! Mpaka pingu ya mwandishi mbobevu ikaingia kwenye jukwaa lisilo na ubaguzi wa dini, taaluma, jinsia, elimu, kabila nk. Nafurahi kuwaona bado mpo live. Biggie ze pillar luvz you all guyz. Narudi chemba kuendelea na......... Hey! Stuka! AM WATCHING! Tuonane kwenye wow! Wow! Wow! MAKAMBAKO!
 
hahahahaa!.......πŸ˜€πŸ˜€
at laaast!....
 
naona umeachiwa! lol!
 

umejizuia weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ikashindikana!!!!!!! at least we knw u r watching!!!!
 
eeeh maana walikung'ang'ania atiii sijui walikuwa na ajenda ya siri (walitaka wakupe kabinti kao?)
hehehehe!...nitaenda nako wapi?..lol!labda wakinipa nidumishe mila na kuyeyaπŸ˜€
 

...he!he!he!he!he!he!....ukitaka iondoe kny favorites JF.......!
 
kuna pledge ya pakajimmy hapa!nakuona js NAOMBA UNIPIGIE...!bwana harusi nimefulia,lolπŸ˜€
 
he! kwani alishikwa(shikiliwa/shikiwa) wapi? au na yeye kakutwa na pingu?πŸ˜•πŸ™„

hahaaaa pingu za jerry sio za police!!!!!!!!!!! (angalau sas tumepata matumizi mengine ya pingu)
B hukujua Iribini ameshikiliwa???? (sio na police thou)
 
hahaaaa pingu za jerry sio za police!!!!!!!!!!! (angalau sas tumepata matumizi mengine ya pingu)
B hukujua Iribini ameshikiliwa???? (sio na police thou)

Nein! na nani/nini....lol..i hope it was gor good? πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…