Projekti ya Geoff!!!!UPDATES

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
...Oooh! Good luck Geoff...Kumbe ndio maana kuna siku alinishambulia hapa kuwa mimi sijao kumbe mwenzangu ka-project kanakaribia ku-take off!!! Mi sijachanga pesa nitakuja na gunia la mahindi ukumbini siku ya harusi kutoka kwetu huku mbozi kama zawadi yangu ili wapate ugali wa kuimarisha mwili na shemeji...I believe shemeji yetu sio kama yule demu wa Masanja asiyetaka ugalii ugalii...
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 13 (6 members and 7 guests) Geoff*, JS, Konakali, Laligeni, Mndundu

NIPIGIIIEEEEEEEEEEEEE.........mpenzi nipigiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
NIPIGIIIEEEEEEEEEEEEE.........mpenzi nipigiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
NIPIGIIIEEEEEEEEEEEEE.........mpenzi nipigiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
hahaha!...it was just a challenge!..ndo maana niliweka wazi NIMEJITOA KWENYE LIGI (.....baada ya kuipitia profile na post zako zooote).roho yangu haikuwa radhi ku-quarrel na wewe...!TAKE IT KAMA CHALLENGE

wewe ni wa mbozi?
hebu ni-piemu nikuelekeze namna ya kupata kadi uje makambako
 
Shemeji wa machalari huyo! ohoo Geoff sasa hivi ameshajua mtori ni nini
 
na mimi hapa KIbwabwa ndondoshee yangu ntaiokota tu..............
 
hahahaha!.....
umenikumbusha mbali sana

heheeeeeeeeeeeeeeee i love kibwabwa Goeff afu kuna yule mkuu wa meza well prepared hata ya kule kwetu haibambi!!!!!!!!!!
 
heheeeeeeeeeeeeeeee i love kibwabwa Goeff afu kuna yule mkuu wa meza well prepared hata ya kule kwetu haibambi!!!!!!!!!!
hahahaha!
haya bwana
 
Hayawi Hayawi sasa yanakaribia kuwa....

Natakutakia Mafanikio katika project hii njema...

Nitam PM JS later on kabla ya COB leo...
 
Hayawi Hayawi sasa yanakaribia kuwa....

Natakutakia Mafanikio katika project hii njema...

Nitam PM JS later on kabla ya COB leo...
yaaaah maaaan!....
pamoja sana!i trust you na posts zako
 
Ntakupigiaaaaaaaaaaaaaa haniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ninapikaaaa kwanzaaaaaaaaaaaaa
 
Ntakupigiaaaaaaaaaaaaaa haniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ninapikaaaa kwanzaaaaaaaaaaaaa
hahahahahahahaha!
umenipa mshtuko na hilo jina....

enewei

NIPIGIIIIIIIIIEEEEEEEEEE MPENZI NIPIGIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEE

NIPIGIIIIIIIIIEEEEEEEEEE MPENZI NIPIGIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEE

NIPIGIIIIIIIIIEEEEEEEEEE MPENZI NIPIGIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEE

NIPIGIIIIIIIIIEEEEEEEEEE MPENZI NIPIGIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEE
 
__________________
I am Blessed!
 
Dah...mbona makubwa tena!πŸ˜€
 
ntakupia darling!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nina kazi jikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ntakupia darling!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nina kazi jikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nipigiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee mpenzi nipigiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

nipigiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee mpenzi nipigiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

nipigiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee mpenzi nipigiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

nipigiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee mshiki nipigiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

nipigiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee mshiki nipigiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mshtuko wa nini? unaogopa kupigiwa? si umebipu mwenyewe?

...........subiriiiiiiiiii kidoogooooo
mimi na wee kitu kimojaaaaaaaaaa
ntakupigia haniiiiiiiiiiiiiiii.
 
.............................DARLING......................

story yenyewe ya nani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

usije nizuga mezaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

nakupigia honieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…