Projekti ya Geoff!!!!UPDATES

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
nina kila sababu.umepita jeshini kweli? unazijua medani za vita?
Sababu gani? ziweke wazi basi.afu maisha yenyewe yamekaa kijeshijeshi haina hata haja ya kwenda makutupora.Na tanzania vita yetu kubwa ni ufisadi na rushwa.
nipigieeeeeeeeeeeeeeee Mpenzi nipigieeeeeeeeeeeeeeeee
 
UPDATES ZAIDI:

Wadau wa JF mlioko Ugaibuni: Kuna ndugu zetu wanaopenda kumchangishia huyu dogo kwenye ile zawadi yetu ya JF. sasa nimeconsult team na tumeona kwamba kwa wale walioko Ughaibuni watumie Western Union au Money Gram kuzimuvuzisha hizo uchakavu au sio. nani wa kumtumia nitaPM more details once you get back to me.

Thank you again and again and again for your cooperation. We appreciate it a lot.
 
Sababu gani? ziweke wazi basi.afu maisha yenyewe yamekaa kijeshijeshi haina hata haja ya kwenda makutupora.Na tanzania vita yetu kubwa ni ufisadi na rushwa.
nipigieeeeeeeeeeeeeeee Mpenzi nipigieeeeeeeeeeeeeeeee

Ngoja nigoogle kwanza kitu flani....lolπŸ˜€
 
Ubarikiwe kwa juhudi zako.Mungu atakulipia.
 
Hehehe naona kama kuna watu hawajaolewa hapa kikubwa wewe ni mhasibu waambie wakuPM
 
JF Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
i really really love you guys!
MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE MY PEOPLE MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE!...

MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE MY PEOPLE MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE!...

MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE MY PEOPLE MNIPIGIEEEEEEEEEEEEEEEE!...
 
Dah...mbona makubwa tena!πŸ˜€

fidel tabia yake ya kuandika huku anavizia vimwana........hapo usikute alimaanisha 'hawajaelewa"

Nimekugongea senksi mtu mzima hapo kweli umeleta sense ulivyosema hivyo.

We Fidel uache hiyo tabia mbaya ya kuvizia kwa kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…