ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna movie inaitwa "wahuni wakubwa"
Baadhi ya wahusika:
-One The incredible
-Mapacha wa Blac
-Makamua
-Beberu
-Makanta Crew
Nawengine sikumbuki majina yao.
Bonge moja la movie mwanangu tambaa nalo mi sio mchambuaji
IPO YouTube
Na Kuna Nyingine inakwenda kwa jina la Bongo na Fleva! Hapo Moko wa miujiza katoka zake sijui wapi akaja mjini sasa picha linaanza mshkaj alipotegemea kahama nyumba na Moko hana hata simu
Zote hizo nazipigia promo Ni za kibabe