Daah yani kama vile romario amekutana na mdigo wazee wa mazabe ni full mng'ong'o tu ukiangalia maembe yenyewe jero tu daah hatari sana hii.
Wanamcheki kama mbwai mbwai tu maana wali-mute full kudiss mapilau nini full makachumbari,na wajanja wa bush wakina imma nteze vuzee kama kawa.
Anyway sio mbaya mbaya mbaya kabisa ikiwa chotara kuberi ndo mapinga kumekucha huku bado mawio mixture misuba for sure.
Nikishika maiki Wana hoji taflo vipi?tega skio skiza mdudo na panchi
Leo sigawi lunchi brekfasti wala Dina, mtakunywa tu mavina cheki bars namimina, Mama Amina ...........ko
Usimuige twiga wetoka kivakovako,
Bado naprich natich mabichi ukiwa feki nakudisi hata uwe mbishi zaiidi ya Nikki,
Au konki Kama dudu koki hii hautamudu, mi Ni Simba, nasio nasibu watandale,
Wengine wanafosi eti niende kwa Babu tale,
Nikaze vina msimamo ka afande sele,
Au niswitch Kama nay niimbe mbele kwa mbele,
Hii rap imenikamata Kama jux kwa Vanessa,
Nashangaa wananikopi haohao nawacheka,
Kwa dharau Sina hisia Na mahater,
Wanajua uwezo wangu twiga The motivator,
Sioni shega badili mapozi bikini tega, mbishi hunichenjui, bandidu Sina story navinega