Promo ya tiGo

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Suku hizi ukisikiliza nyimbo nyingi, mf takriban zote za kundi la offside trick, taarabu, tangazo moja ivi la kampuni ya simu ya tigo, kampeni ya "tuzungumze" etc wanaashiria au wanahamasisha wanandoa au jamii kwa ujumla watumie tiGo.

Kwa takwimu zisizo rasmi, wadada waliowengi wameelimika na wameitikia wito huo. Chakushangaza humu jamvini hakuna hata mmoja ambaye yuko tayari kututhibitishiwa kwamba anamthamini mpenzi wake na huwa anamtunuku tunu hiyo. kwanini?

Ivi kweli kabisa hamna wadada ambao ni wanachama? Mi namjua mmoja lakini hata yeye hayuko tayari kuwaambia. Ni kwanini wakati huwa mnaenjoi???
 

Kuna anaemwelewa huyu jamaa?..Hivi kama kuna uhamasishaji wa utumizi wa tigo shida iko wapi, si ni biashara?..
Kwa takwimu zisizo rasmi, wadada waliowengi wameelimika na wameitikia wito huo.
KakaJambazi, hizo takwimu ulizifanyia wapi?...Lakini nikuhakikishie kwamba sio wadada tu, hata mimi ninao mtandao wa TIGO, NA NI MWANACHAMA, mbona hujasemea mitandao mingine kama Zantel na Zain?
 

kakajambazi samahani kama nitakuwa nimekukwaza lakini ukweli ni kwamba....uzi wako hauna mashiko
 

u cant be serios. Anyway,, inawezekana lakini.
 
PJ well said.
 
Preta na Wos najua hamuwezi kujitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…