warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Duh kama izi tetesi ni za kweli basi kazi tunayo akina kantupeni,tetesi zilizopo chini ya kapeti ni kuwa ile promotion inayotarajiwa kufanyika kesho na kesho kutwa na kampuni ya vodacom pale mlimani city ni kwa watu maalumu tu,yaani ukienda wewe from no where na kutaka izo simu unaambiwa zimeisha kumbe wenyewe wana watu wao wanaowauzia,kesho ntaenda kushuhudia uo mchezo kuanzia saa kumi na mbili nipo pale na team yangu halafu tuone ujinga wowote unafanyika.lazima kinuke