Duh kama izi tetesi ni za kweli basi kazi tunayo akina kantupeni,tetesi zilizopo chini ya kapeti ni kuwa ile promotion inayotarajiwa kufanyika kesho na kesho kutwa na kampuni ya vodacom pale mlimani city ni kwa watu maalumu tu,yaani ukienda wewe from no where na kutaka izo simu unaambiwa zimeisha kumbe wenyewe wana watu wao wanaowauzia,kesho ntaenda kushuhudia uo mchezo kuanzia saa kumi na mbili nipo pale na team yangu halafu tuone ujinga wowote unafanyika.lazima kinuke
mkuu zile zinauzwa pale kihalali kabisa. wewe sema hujaamin punguzo la bei kwa70% ndo maana unakuja hapa kukatisha watu tamaa wasie kununua ili ukazinunue wewe na timu yako. wasemeje zimeisha wakati simu zipo hadharani?. acha hizo bana. mia
Mzee wa mia ulipepesa macho,mkuu zile zinauzwa pale kihalali kabisa. wewe sema hujaamin punguzo la bei kwa70% ndo maana unakuja hapa kukatisha watu tamaa wasie kununua ili ukazinunue wewe na timu yako. wasemeje zimeisha wakati simu zipo hadharani?. acha hizo bana. mia
Mzee wa mia ulipepesa macho,
Hakukua na kitu.