Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

mkuu hongera sana.....

Ni kweli kabisa kuwa hawa viumbe wapo hapa hapa duniani na inasemekana wapo underground hasa milima mikubwa...

kuna maelezo ya mtafiti mmoja alisema kuwa kuna space ship nyingi kubwa kama viwanja vya mpira zipo chini ya milima...

Ndo maan mpaka leo maelezo juu ya milimo iliyopo hayawekwi wazi ..

Na kuna underground road ( tunnel) nyingi sana ardhini zinazoconnect ship moja na nyingine hata kama umbali mmoja utakuwa nchi moja na nyingine...

Daaaah...habari hizi ni terrifying sana aise...milima mingi inalindwa kwa gharama kubwa sana...usione wazungu wanakuja kupanda kila mara ukajua wanafanya tour...

jiulize wao watoke nchi za mbali huko kuja kupanda mlima tu ...hakuna starehe kama hiyo duniani...ni moja ya least plesure kabsaa....

They always come for a purpose kabsaa sio bure...

kuna milima Tanzania kama Uluguru ambayo ina maajabu sana na hakuna maelezo yanayojitosheleza kwanini inalindwa na hakuna mtu anayeruhusiwa kupanda kule only serikali huruhusu wazungu na watafiti kupanda kule...

Kuna maajabu sana kwenye mlima ule huku idadi kubwa ya watu ikakadiliwa kupotea kila mwaka pamoja na baadhi ya ndege moja ilipita juu ya ule mlima ikapotea na hakuna taarifa zote zozote zilizoripotiwa juu ya kupotea ndege ile maeneo ya Uluguru mountains...


Kama kuna mtu atakataa na hilo basi atakuwa hana taarifa za ndani japo ilipigwa kimya kimya sana. hata watu au wakazi wa maeneo yale hasa wazee wanalijua hilo swala ila wanakwambia usizungumzie kabsaa ile ndge ilipotea mazingira ya ajabu sana...tunawaza kuongelea ngege za malaysia kumbe kuna matukio mazito huku huku kwetu ila yanapigwa kimya kimya....


Sasa swala la kujiuliza ni kwanini ndege ilipotelea anga zile na serikali ya Tz ilikaaa kimya tena taarifa zile zilizimwa gafla...

Any way naanza kuamini kweli kule chini kuna shughuli zinaendelea...

Milima ni matokeo ya kupisha nafasi ya spaceship chini huko ndo mana ardhi inabinuka kwa juu...be careful sanana hii milima imeficha mambo mengi sana..ugeni huu umekuja miaka ya zamani sana....

Kama umeme wa Kihansi unazalishwa chini ya mlima umbali wa 3km underground lakini huwezi ukaamini kabsaa ukiambiwa umeme unatoka underground kwenye mlima na huko chini kuna wafanyakazi wengi sana...just a tunnel ndo inakuongoza kuingia ndani na kusafiri umbali mrefu kama 3km ndo unayapata makazi ya mitambo ya kuzalisha umeme...hivi nani alitoa wazo hilo ?? daaah..ni akili ya binadamu au ??

Mlima Kilimanjaro una maajabu mengi sana kuna watu wanasema kuna underground tunnel inayotokezea huko Crator maalumu na hio ibabaki kuwa confidential...

Any way Naweza sema kuwa kuna spaceship zipo chini ya ardhi zina viumbe toka space za mbali na kuna communication kati ya mwanadamu na hao viumbe na mikataba inabaki kuwa siri nzito sana...

Bilogical experiments nying zinafanyika huko kwa siri sana...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google earth mountain Kilimanjaro kuna Reusch Ash Pit kuna nini ndani ya kilele cha mlima kilimanjaro? Na kwanini pale who created and named Resch Ash Pit, Itabidi tulete Makala ya Mystic School of thought kama alivyozungumza mwana Mama Helena P. Blavatsky katika kitabu cha Isis Unveiled Volume 1. See attachment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi njia zinazoingia kwenye milima mikubwa kwa lengo ambalo mwanadamu hajui paka leo..


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190106-210740~2.jpg
    62.7 KB · Views: 41
  • Screenshot_20190106-210740~2.jpg
    62.7 KB · Views: 42
  • Screenshot_20190106-210740~2.jpg
    62.7 KB · Views: 45
  • Screenshot_20190106-210823~2.jpg
    100 KB · Views: 41

Duh yan mlima upo kwetu lakini sijui ni kitu gani kinachoendelea??
 
Upuuzi mtupu. Unamkufuru Mungu aliyeumba wewe. Kwa hio hata wewe umeumbwa na hayo mazombi unayoyashabikia? Mwanalaana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu. Unamkufuru Mungu aliyeumba wewe. Kwa hio hata wewe umeumbwa na hayo mazombi unayoyashabikia? Mwanalaana

Sent using Jamii Forums mobile app
au sio....??

kwa hiyo unatumia kigezo gani kusema kuwa ni upuuzi ili hali hujatoa maelezo ya wapi umetika zaidi ya kukalili tu ulichokikuta kwenye maandiko hayo uliyoyashika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi kuamini hayo usemayo. Mungu ndie aliyeumba vitu na watu kama maandiko yanavyoeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
wew ndo mpuuzi wa mwisho kabisa...umelazimishwa kukoment hapa ...waache wahusika waje wasome...kwani umeitwa uje utoe neno...?
Dhibitisha basi uwepo wa huyo Muumba unayemtukuza kama unaweza kuja na jibu la maana hapa.

Hebu weka imani pembeni iruhusu mind yako ipate vitu vipya basi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao alliens walituumba ili iweje??
Na kwanini wamejificha ilihali sisi ni matokeo ya kazi yao?? Si wajitokeze tujuchanganye maana ni kama ndugu moja.
Kwanini wawe na usiri kutuficha vitu ilihali sisi hatuna cha kuwazidi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri zipo hapa gusa häpa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Mkuu hivi taarifa huwa watu wanazipata vp ni akina nani ambao ndiyo hueleza hizi habari?
 
Hapana,yani nachouliza sio kwamba nyie mnaoeleza humu mmepata wapi haya maelezo bali hao wanaoeleza hizi habari(iwe kwa njia vitabu au vyovyote vile) wao wanapata wapi hizi taarifa hadi nao wakaja kuzieleza?
Mkuu labda nikuombe kitu kimoja...
Hii dunia au huu ulimwengu una mambo mengi sana ...

Tena mengi mno na mengi yanawwza kukufanya ukaloose sense of perfection kabsa kwa sababu ni mengi sana na yanatolewa katika phase ambazp ni incomplete ndo mana mtu anakuwa haelewi mwisho wake..

Kuna Esoteric teachings hizi haziwekwi kwenye vitabu kama hivyo vinavyozagaa uchocholoni( google) kama ambavyo wengi tumekuwa tukikimbilia huko.

Esoteric knowlege hutolewa kwa watu wachache tena beneficial ones na hawa pengine huweza kuwadokeza ndugu zao wa karibu ambao wanatamani wasiingie kwenye illusion ilijazwa kwao huku reality ikiendelea kuwa paradoxy kwa wengi..

These teachings are there and you must believe..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…