Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Maarifa yataongezeka kwa mechanism ipi mkuu...?? Hapo kwanza ....Nani anayeratibu haya mabadiliko au ndo unameza na kupaste kwa kichwa ...??

Biblia imesema maarifa yataongezeka ,nani mratibu wakati mabadiliko hayo yakitokea...??
 
Maarifa yataongezeka kwa mechanism ipi mkuu...?? Hapo kwanza ....Nani anayeratibu haya mabadiliko au ndo unameza na kupaste kwa kichwa ...??

Biblia imesema maarifa yataongezeka ,nani mratibu wakati mabadiliko hayo yakitokea...??
Looh! It's amazing, by the way huo ni unabii uliandikwa na sasa unatimia, anaye engineer hayo mabadiliko ni shetani na agents wake ili apate kuwatia wanadamu katika taharuki. He can't appear physically mpaka agents wake wawe tayari wamemuandalia mazingira. That's why hiyo mipango yake inatimizwa na watu fulani, na hao watu ndio wenye ujuzi, elimu, maarifa na ndio maana kila kukicha na wanakuja na vumbuzi za hali ya juu. Kama vile Mungu alivyochagua watu wachache ili waweze kufikisha ujumbe wake kwa watu ndivyo hivyo huyu baba wa uongo naye amechagua watu wachache na kuwapa ujuzi na maarifa ya vitu mbalimbali ili aweze kudhihirisha uwezo wake "imeandikwa atafanya ishara na maajabu mengi yumkini hata kuwadanganya waliowateule wake" don't be deceived, mimi sioni jipya hapo. Jipya lipo labda to those who don't know and understand both philosophical and revealed knowledge.

NB: umekimbilia kuuliza swali mkuu bila kutoa ufafanuzi wa content yote niliyoiandika. Itakuwa vizuri ukitolea ufafanuzi kuhusiana na hiyo contradiction niliyoiweka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndefu hii nimesoma kwa kukuraruka ila sasa hao aliens walimbwa na nani?
 
Most of these things ni friction tu
Kama madawa formula za kila dawa mtu akiishaiandaa anaichukulia leseni inakuwa Yake ataproduce mpaka hapo anapoweza kuuzia makampuni ni dawa
Compounding huwa IPO kama aspirin wafamasia wanaweza kutengeneza tu shida kubwa ni kule kuwa na mazingira halisi yanayostahili kutengeneza vitu hivyo

Njoo sasa kama ni NASA ambayo anamilikiwa na marekani lkn nchi zingine kwa technology inaiitisha marekani kwa siraha nzito za kisasa

Nadhani tuuongee kila kitu lkn tusikufuru kusema Mungu hayupo

Fikiria hivi vyote vilianzaje etc kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapa ni patamu Sana katika Uzi wote

Halafu hii dhana ya mitifuano anga za mbali ina harufu ya kibiblia biblia_ngoja tutatengenezea ufanano wake

Tena Kuna wengine tunahisi Dunia labda ni magereza ya alien wakorifi [emoji1]

Hebu pitia na hii mkuu Is Earth an Alien Cosmic Prison Planet! - YouTube






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huu ushindani wa teknolojia nao unasimamia wapi?maana utasikia Marekani kafanya hivi Mrusi kafanya vile mara mchina naye kafanya hiki.
 
People with Rh negative blood type could have alien origins,Controversial Theory claims,.
 
Haya maneno mingii sana bwaana, sasa maadamu tumeshajua namna binadamu na genetic zo zilivyopo basi tutengeneze combination na geni ya dawa atakayopewa mwanadamu akishafika miaka 35 ili tissue na vichocheo vyote mwilini zisianze kuchoka, kila kichocheo kiendelee kufanya kazi yake hata kama atafika 150 yeye awe anadunda tu as if ana 35.
 
Topic yako ni very fascinating and provokes the mind to think,nami nimeona japo niweke mchango wangu.
Ufupisho wa ulichozungumzia kwenye molecular biology unaitwa central dogma yaani process from DNA transcription to protein formation yaani polypeptides.Kwa precision,accuracy na ustadi uliotumika kusimamia hiyo process yote siamini umefanywa na some creature hanging in the outer space.
Ufundi uliotumika hauwezi ukawa na mkono wa mtu au kiumbe kingine chochote zaidi ya Mwenyezi Mungu.
 

Je, kuna uwezekano kwamba hicho unachokiita "some creature hanging in the outer space" kikawa ndio Mwenyezi Mungu wa kwenye vitabu?
Mi naona kuna resemblance kubwa sana kati ya hivi vitu..
Kwanza kulingana na maandiko Mungu sio kiumbe mmoja, ni viumbe wengi ref: bible verse "na tuumbe mtu kwa mfano wetu"
pili Mungu nae anaaminika yupo huko juu... na aliens wapo huko huko
tatu inaaminika kuna wakati Mungu (au mwana wa Mungu) alishuka duniani (labda ndio alikuja ku modify humans?) kuleta knowledge?
Nne inaaminika kuna watu walipaa mbinguni (alien abduction?)
Tano inaaminika Mungu atarudi tena duniani, pia inaaminika aliens watarudi duniani
Je, sio kwamba hii ni habari moja ila inaelezewa kwa namna tofauti??
 

Nikiunganisha dots naona Kama kuna ukweli flani hivi tunaofichwa
 
Hii dhana ya kufikiri tunafichwa ndiyo mwanywa wa kutufanya tufikiri watakavyo kwa kisingizio cha usiri,kadri tunavyozidi kujiona tunafukunyua hizo siri kumbe ndio tunafanywa tufikiri watakavyo kwa njia rahisi kabisa. Tizama sasa wote tunaamini kuna viumbe wana akili sana kuliko sisi.
 
Kwani wewe huamini Mungu/miungu/aliens wana akili kuliko sisi mkuu ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa cha kujiuliza ni kua "wao" ni kina nani na "sisi" ni kina nani. Maana ukiingia mitandaoni utakuta wanaofukunyua ni "wao" na sio sisi. Sisi kila tunachojua, kiwe kweli au sio kweli tumekipata kutoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…