Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Hapa cha kujiuliza ni kua "wao" ni kina nani na "sisi" ni kina nani. Maana ukiingia mitandaoni utakuta wanaofukunyua ni "wao" na sio sisi. Sisi kila tunachojua, kiwe kweli au sio kweli tumekipata kutoka kwao.
Ndiyo hapo sasa yani hata ukiomba source wa hizi habari utatajiwa mzungu fulani huko ndio ameandika haya mambo,sasa sijui yeye anayapataje ambayo ni siri?
 
...nimekuuliza je_Allah/Yehova hana nguvu kuliko wewe?!...coz ukiamini hivyo impliedly unakuwa unaamini hata hao Aliens wana nguvu/akili kuliko sisi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuamini pia kuna sababu na sio kwamba unaamini tu kwa kuwa umejisikia kuamini tu,ndio maana nikakuuliza sababu ya kuamini hivyo ni ipi?

Aliens tunaelezwa kuwa ni viumbe tu na ndiyo maana wengine wanauliza nao wameundwa na nani? Ni tofauti na habari za Mungu,sasa wewe umewalinganisha kwa kipi?
Na istoshe msingi wa habari za Mungu ni imani hivyo imani ni kitu kinachohitajika na sio kwamba ni habari za siri,sasa hizi habari za Aliens hazipo kwenye msingi wa imani bali ni siri.
 
Ndiyo hapo sasa yani hata ukiomba source wa hizi habari utatajiwa mzungu fulani huko ndio ameandika haya mambo,sasa sijui yeye anayapataje ambayo ni siri?

Mi nafikiri hawa wazungu hawajitambui.

Kwanza kabisa walituletea dini. Humo wakasema dunia na vyote vilivyomo viliumbwa na Mwenyezi Mungu! Na kulingana na maandiko yao, dunia ni flat na imezungukwa na maji chini na juu angani. Pia wakasema jua linazunguka dunia. Na wakasisitiza kwamba haya ni maneno ya Mungu mwenyewe kwahiyo yapo sahihi 100%. Tukaamini.

Baadae kidogo wakaja na evolution. Wakatuambia binadamu na viumbe vyote vili-evolve na kwamba sisi mwanzo tulikua nyani then tukabadilika na kua binadamu. Pia wakatuambia sasa dunia sio flat tena, ni duara na dunia ndio inazunguka jua. Tukaamini.

Sasa hivi wamegawanyika kuna wanaoamini dunia iko flat, na kuna wanaoamini ipo duara. Kuna wachache wanaoamini tuliumbwa na Mungu na wengi wasioamini. Majority yao kwa sasa hawaamini chochote kati ya hivyo!!!

Sasa we unaona hao ni watu wenye akili timamu?
 
Wao wana ajenda zao ila sie tunaofuata mkumbo tu ndio nafikiri tuna tatizo.

Unakuta mtu anasema wazungu wameleta dini ili kututawala mara sijui kutupumbaza tusijue ukweli,ila hapo hapo yeye mwenyewe anaamini makorokoro mengine ya mzungu huyo huyo ambaye amewadanganya watu kwenye dini.
 
The earth was constructed for a purpose ...to allow life for the prisoners ..it was allocated in near the Sun to allow food synthesis for the prisoners,The moon was constructed to act as the source of light in the night so that the prisoners can see things in day time under guidance of Sunlight and night under guidance of the moon...

All those sources of light were to monitor the prisoners all the time...

The Earth might be the place to punish the prisoners ...
 
Demonic doctrine. Stop watching hollywood!

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Ukweli ni kwamba we are a project. Hii wala sio siri iko wazi kabisa na kila mtu anapaswa kujua hili na nafasi yake katika ulimwengu. Kinyume na hapo utaishi the unfulfilled life ambacho ni kitu kibaya sana and it’s highly punishable.
 
Ukweli ni kwamba we are a project. Hii wala sio siri iko wazi kabisa na kila mtu anapaswa kujua hili na nafasi yake katika ulimwengu. Kinyume na hapo utaishi the unfulfilled life ambacho ni kitu kibaya sana and it’s highly punishable.
Kabisa mkuu,
 
Ukweli ni kwamba we are a project. Hii wala sio siri iko wazi kabisa na kila mtu anapaswa kujua hili na nafasi yake katika ulimwengu. Kinyume na hapo utaishi the unfulfilled life ambacho ni kitu kibaya sana and it’s highly punishable.

So it’s like we are somebody’s dissertation?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Basi Aliens wana upendeleo ! Ni kwa nini wakawapa wayahudi akili ya ziada ?? Maformula yote ya sayansi wamegundua Wayahudi ! Nawauliza ninyi Aliens ni kwa nini swala la mda mliwanyima Waafrika ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa aisee mkuu unanihamisha kabisa sayari nahizi nipo nyuma ya jua inapozamia far east where no body reach even when they are never come back again

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali mkuu wala si maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…