Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

lifecoded
Kuna mahali nimeona (sio hapa) umeongelea nguvu iliyoko kwenye maumbo mbalimbali. Je kitu kilekile kinaweza kuelezea ishu kama jengo la ulinzi la Marekani kuwa Pentagon in shape na wenyewe kulinadi vile.
Twin towers.
Triangles like Bermuda
Pyramids
 

Mtu aliye nishangaza ni Einstein na theory zake za relativity. Nikiona watu wanavyo jaribu kuzielezea na wanavyo kanyagana wao kwa wao nashindwa kuelewa inakuwaje...
 
Mada yako imekaa kinadharia sana lkn haiuwi mipaka ya kuijadili isipokuwa inakuwa inamipaka(inaleta sintofahamu) kuileta kihalisia maana kwanza umeumba kitu! Sikulaumu na wala sio kosa.
Umemfanya binadamu kuwa yeye hajitoshelezi kiakili kufanya yaliyopo! Sio kosa.. mada yako inaibua viumbe ambavyo tunavifahamu kinadharia!!
Anyway kama hao aliens wanashida na madini tu! Hebu tuanzie kujiuliza hapa kama kumtumia binadamu ndio njia stahiki ya kupata wanachokitaka,huoni kuwa ni process kubwa sana yenye kula muda kumtengeneza,kumsubiri akue,ahimalike mpk afike hatua ya kuanza hiyo kazi ya kuchimba hayo madini..??!! Binafsi naona Kama ni process kubwa Sana kuliko anayoitumia binadamu ya kumtengeneza mitambo na kuanza kuchimba tu na kupata anachokitaka!

I mean hao alien kwa kutumia weledi wao wangetengeneza mitambo tu ambayo ipo fasta na ingeshughulika fasta zaidi ya kumsubilia binadamu!!

Hilo swala la pili la kuhifadhi Gene yao kupitia kwetu ni nadharia pia ila inahitaji kujua nje ndani ulimwengu wote namna ipi nzuri ya kuhifadhi something like Gene kiustadi na muda mrefu zaidi ktk hali ya kiusalama,tukishazijua hizo njia ndipo tupime na tucomfirm kwamba hii ya namna hii ndio inafaa zaidi alasivyo wao pia watakuwa wanamiisho ya ujuzi pia.

Kujadili nadharia huwa ni shughuli pevu kwelikweli hii mada yako ni nzito lkn shida ni unadharia!! Ila sio kipimo Cha kutoijadili but how we prove those things..??

Mi nafikiri tunaweza mtazama binadamu kihistoria iliyo na taarifa ya kushiba ili tupime uwezo wake kiakili kama unakidhi haya tuliyonayo na chengine ni lazima tuufahamu ubongo nje ndani alasivyo tutaona maluweluwe kumbe ni swala la kwamba we miss some information that why we see things like isn't our ability.
 
Hahahaha, hili suala naona hajalitolea ufafanuzi
 
Utanisamehe sijasoma yote...lakini wewe ni punga
Hao humanoid aliens kuna proof wapo?
Kuna proof hiyo "junk DNA" ilikuwa programed na aliens?
Yani umejitapa mwanzo kuwa utaweka "proof" ya conspiracy theory yako lakini unaunga unga matukio yasiyo na proof kama "proof" yako
 
Nna maswali mengi sana kwako

Unasema kuna humanoid, mara sisi tumeundwa na alliens tuwasaidie

Mara walimodify genes, zipi walizotutengeneza nazo au walizotukuta nazo tayari.??

Sent using Jamii Forums mobile app

its just beyond yo awareness.. imeze kama ni ngumu basi itafunie kwa chai yenye kijiko kimoja cha sukari[emoji4]
 
Mkuu lifecoded upo?

Mimi nataka kufahamu hao humanoid aliens wako wapi ambako hao wanasayansi walilinganisha genes zao na non-coding gene za binadamu.

Higher dimension space.
 
UOTE="lifecoded, post: 35688244, member: 487938"]
its just beyond yo awareness.. imeze kama ni ngumu basi itafunie kwa chai yenye kijiko kimoja cha sukari[emoji4]
[/QUOTE]
we jamaa am a neuroscientist chief 😂
 
UOTE="lifecoded, post: 35688244, member: 487938"]
its just beyond yo awareness.. imeze kama ni ngumu basi itafunie kwa chai yenye kijiko kimoja cha sukari[emoji4]
we jamaa am a neuroscientist chief [emoji23][/QUOTE]

comon men[emoji4][emoji4] lets dance together
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…