Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Kuna spiritual being kwa mwanadam ni sehemu haujaigusia ipasavyo,unaongelea zaidi mwili. Kwa kifupi mwili unaweza kuchezewa kisayansi lakini sehemu ya thamani kubwa sana kwa mwanadamu ni roho ambayo ndio mtu halisi,haichezewi! Na muumbaji wake yupo na ndie aliewaumba na aliens, I'll be back...
 
Hili bandiko lingemake sense zamani ambapo tulikuwa hatujui function za hiyo non coding part of DNA…Research za sasa zimegundua Sehemu ya DNA isiyo ya kodi ina majukumu muhimu katika mwili.

  1. Kuregulate Ukaribu wa Genes (Enhancers): Sehemu hii ya DNA ina jukumu la kurekebisha shughuli za genes. Inaweza kuchochea au kudhibiti kuwasha na kuzimwa (activation and deactivation) kwa gene, na hivyo kusababisha tofauti katika kazi za seli.
  2. Kuregulate Ukaribu wa Uendeshaji (Promoters): Sehemu hii ina jukumu la kuanzisha mchakato wa kusoma gene na kutengeneza protini. Hii inahusika na kuanzishwa kwa RNA polymerase, enzyme ambayo hufanya nakala ya gene.
  3. Miundo ya kromosomu: Sehemu ya DNA isiyo ya kodi inaweza kushiriki katika kusaidia miundo ya kromosomu. Inaweza kusaidia katika kudumisha utaratibu wa kromosomu, kuhakikisha usahihi wa mgawanyiko wa seli wakati wa kuzaa.
  4. RNA isiyo ya kodi: Sehemu za DNA zisizo za kodi zinaweza kutafsiriwa kuwa RNA isiyo ya kodi. RNA hii inaweza kuwa na majukumu mbalimbali katika seli, kama vile kusaidia kuzalisha miundo ya seli, kuregulate shughuli za jeni, au kuwa sehemu ya michakato ya kujikinga katika seli.
  5. Kurithi: Ingawa sehemu ya DNA isiyo ya kodi haitekelezi moja kwa moja jukumu la kodi, inaweza kuathiri kurithi. Mabadiliko katika sehemu hii ya DNA yanaweza kusababisha mabadiliko katika genes za jirani, na hivyo kuathiri tabia na sifa za kizazi kijacho.
utafiti unaendelea kufanyika juu ya jukumu la sehemu isiyo ya kodi ya DNA, na maarifa yetu yanaweza kuendelea kubadilika na kuboreshwa kadri tutakavyojifunza zaidi.
sio vizuri kutengeneza conspiracies juu ya vitu tusivyovijua
 
Duh kwahyo mkuu hii ni conspiracy?
 
Siamini Kama binadamu tuliletwa na alliens, Bali tupo Kama tulivyo na theory yetu ya evolution ya baby ya Darwin, hao alliens n viumbe wengine ambao wao walichotuzidi n maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia, Wana maisha yao huko mbali.
Lakini pia nilichokipata hapa ktk huu Uzi n kuwa kwa Sasa dunia n koloni la hao alliens

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unaaminije alliens ambao hawajawahi kuonekana mahali popote zaidi ya hadithi na mafikirio ya watu tu. Kama ulivyo elewa kuwa Darwin theory ni uongo, vivyo hivyo hadith za allien ni uongo, hakuna ushahidi wa uwepo wake/wao zaidi ya stori tu.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…