Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani.
Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma chawa wa CCM. Wao waliona kama ni fimbo ya kuwachapia CHADEMA.
Sasa upepo umerudi kinyume nyume wana hahaha.
Kwa hali ilivyo sasa, Tundu Lissu ashinde au asishinde, matokeo yoyote yale yataleta athari kubwa sana kwa CCM.