Mkuu unaweza kutubandikia tamko lao na source ya kuwa Tanzania hamna Corona?!Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.
Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya nchi jirani Kama Kenya, Uganda na Rwanda inatisha Sana na inatufanya tuamini kuwa korona imeshakuwa kubwa kuliko kawaida hasa ukiamua kutumia Madereva hao Kama sample.
Mimi nasubiri Rais wangu arudi Dar ndo na mini nitajuwa Tanzania hamna korona.
Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.
Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya nchi jirani Kama Kenya, Uganda na Rwanda inatisha Sana na inatufanya tuamini kuwa korona imeshakuwa kubwa kuliko kawaida hasa ukiamua kutumia Madereva hao Kama sample.
Mimi nasubiri Rais wangu arudi Dar ndo na mini nitajuwa Tanzania hamna korona.
Junapili tunapiga kelele na vigelegele kushangilia ushindi dhidi ya koronaMkuu unaweza kutubandikia tamko lao na source ya kuwa Tanzania hamna Corona?!
Nadhani hapo umewasingizia.
Wewe mkuu, huwa uko vzr mnoo,[emoji2][emoji2],, umesahau kutaja cdm au Mbowe tuu kweny hii comment...[emoji2772][emoji3][emoji3]Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Tulia wewe,J2 nenda ka-party Corona imeisha.Corona ipo hakuna aliyesema hakuna ila mmeikuza na kutengeneza hofu isiyo ya lazima
Wewe mkuu, huwa uko vzr mnoo,[emoji2][emoji2],, umesahau kutaja cdm au Mbowe tuu kweny hii comment...[emoji2772][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpak kielewekeee dadekii,, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mbowe amepiga bilion 8 tunamvutia kasi