Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
- Thread starter
-
- #21
Chadema wana historia ya kutumia migogoro kama njia ya kujenga huruma kwa umma.Shida iko hapa, unaulizwa kitu simple una panick. Weka hisia pembeni rudi kwenye facts
Una udhibitisho ya uliyoandika?
Bado hujajibu swali, una udhibitisho? Nazungumzia hard evidence. Mawasiliqno yao, mipango yao, silaha na magari waliyotumia, watu wanqo watumiaChadema wana historia ya kutumia migogoro kama njia ya kujenga huruma kwa umma.
Je, tukio la Kibiti halikuja kwa wakati mwafaka wa kuharibu taswira ya serikali siku chache baada ya mafanikio ya kidiplomasia? Bahati mbaya sana kwao, propaganda haifichi ukweli.
Kama unajiweza njoo tujadili ila huyo mwenzio arudi shule kwanza akajifunze kuandika kisha ndio arudi kujadili mambo yanayomzidi uwezo kama haya.
Inaonekana unatafuta 'hard evidence' kana kwamba serikali inapaswa kutoa taarifa za kijasusi kwa kila tuhuma za propaganda za kisiasa.Bado hujajibu swali, una udhibitisho? Nazungumzia hard evidence. Mawasiliqno yao, mipango yao, silaha na magari waliyotumia, watu wanqo watumia
Ulichoandika hapo ni theory not udhibbitisho or evidence
Kwanini polisi hawawakamati na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria hao wanaohusika kuteka watu na wengine kuwauwa .Upuuzi kivipi? Andika walau sentensi mbili tukusaidie kukuza uelewa wako Mr. Chadema Lia lia.
Hii ya kuliwa Tigo umeitoa wapi? Mbona Aisha hajathibitisha kuwa hilo pia alifanyiwa?Ngoja atekwe mama ako au baba ako waliwe tgo ndio utajua umeandika upuuzi
Eleza vizuri kwa nini mmetendea Aisha ubaya wote ule? Utaendelea kuwa kibaraka wa kutumikia viongozi kwa kutenda uovu mpaka lini?New mboga mboga in town
🤣🤣🤣🤣🤣Je, kama Chadema hawahusiki, mnaweza kutoa ushahidi wa kuonesha kilichompeleka Aisha Kibiti?
Kwa nini tukio hili limeibuka wakati maalum baada ya Bunge la Marekani kuidhinisha ufadhili kwa Tanzania?
Kimsingi hata Aisha mwenyewe hajapigwa bali amepapaswa. Inaonekana aliyekuwa akimsulubu anamjua vema ndio maana alimsulubu huku akimuonea huruma.
Kwenye ule mkono wa kushoto nimeona LOVE BITE, kwani kuna mengine yalijiri huko hamjayasema?