Prophet IPM: Wanawake wasiopendwa na waume zao ndiyo huongoza kwa kuwa na watoto wengi

Prophet IPM: Wanawake wasiopendwa na waume zao ndiyo huongoza kwa kuwa na watoto wengi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuwa katika Ndoa siyo Kigezo cha Kupendwa na Mumeo. Mwanaume anaweza kuwa na Mke wa Ndoa katika Ndoa yao hata kwa miaka 20, ila akawa hajampenda Moyoni na yupo Mwanamke mwingine anayempenda hasa Kwingineko.

Wanawake wengi hudhania Kuzalishwa sana na Mwanaume katika Ndoa ndiyo Kupendwa lakini Ukweli ni kwamba Wanawake wengi wasiopendwa katika Ndoa zao ndiyo huwa na Neema ya Kuzaa Watoto wengi na kwamba Wanaume wengi hawapendi Kuwazalisha Watoto wengi Wanawake ambao wanawapenda Kidhati katika Mioyo yao" amesema Prophet IPM.

Na kwa Utafiti wangu binafsi GENTAMYCINE nilioufanya mahala niseme tu ninakubaliana 100% kabisa na Prophet IPM.
 
Ni mahitaji mm nampenda mamaenu ila tumezaa 2 tu kwa kuangalia uchumi wetu tukijaaliwa tutaongeza.pia kuna majaaliwa mtu kumzalisha mwezio kwa mioperashen mara 5 ni unyama sio upendo
 
Back
Top Bottom