Tanzaone
Member
- Feb 26, 2013
- 70
- 53
Binafsi nimekua mshabiki wa Bitcoin, sio tuu kwa maneno bali pia kwa vitendo, kwa vitendo kwa maana ya kuwekeza katika hii teknolojia: kuwekeza fedha, muda na jitihada. Hivyo sizungumzi haya bila uzoefu wowote katika hii space. Nimekua na malengo ya kujikita na kuweka mizizi kabisa ktk hii Space ila Mungu anapozungumzaga bana kupitia watumishi wake ambao binafsi ninakua nimejiridhisha nafsini kua kweli ni watumishi wa Mungu...hua mimi nakaaga mguu sawa kwa kweli.
Binafsi nimejiridhisha kua huyu baba ni mtumishi wa Mungu wa kweli ktk ofisi ya kinabii hivyo kufuatia ujumbe huu wa kinabii wa mwaka mpya 2018 ,suali la msingi kuhusu Bitcoin sio kuwa itaanguka au la, ila suali la msingi hapa ni lini itaanguka? Neno karibuni linakuaga na utata kidogo kinabii; Hivyo karibuni huenda ikawa kesho au wiki kadhaa tokea sasa au miezi au hata mwaka au miaka kadhaa kutokea sasa. Jibu la suali hili litaamua ni kwa mpango gani wenzangu na mimi tulojiongeza humu kwenye hii fursa inayotolewa na Bitcoin, tunafungasha vya kwetu kabla ya kufika hayajatufika.
Ipo hivi...Bitcoin kabla haijabadilishwa kwenda kwenye Cash au haijatumika kubadilishana thamani kwa ulimwengu tulio nao kwa sasa inakua haina thamani. lakini pia kufuatia uwezekano wa kuanguka kwa thamani yake, ni uwezekano wa hasara inayoepukika.
Conclusion: Si busara sana kuhifadhi bitcoin kama vile ardhi, nyumba etc, kwa muda uliopo ni busara kuuza mapema kila unapopata bitcoin muda ungalipo na bei zingalipo vizuri bado. Ninashauri kua first option cash it, second option convert them into other promising Cryptos, e.g. ethereum, Minero, litecoin ripple etc chagua wewe mwenyewe.
Mwisho Uza au Convert into another crypto, ila bakisha kiwango kidogo unachomudu kupoteza ktk form hio ya Bitcoin, kiuwekezaji zaidi, it's prudent to do this.
Yangu hayo machache kwetu wadau wa Bitcoin. Akili ya mwezio changanya na ya kwako kisha fanya maamuzi mwekezaji mwenzangu.