Proposal: books review threads

Proposal: books review threads

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,386
Hi all!Baada ya kusoma thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...2012-the-year-in-books-your-top-ten-list.html nimegundua kua kuna watu wamesoma vitabu nilivyo soma mimi, wengine wamesoma vitabu ambavyo mimi ningependa kuvisoma ila sijabahatika kuvipata, na wengine wamesoma vitabu ningependa kujua vinahusu nini hasa kabla ya kuvitafuta. Nikajikuta natamani kujadili nao kuhusu vitabu hivyo.

Sina shaka kua kuna members wengine walio hisi hivo (could be wrong lakini). So, Nimejaribu kufikiria namna gani tunaweza kujadili vitabu tumesoma na nina mawazo mawili:
  • Wazo lakwanza lilikua kuchagua vitabu kadhaa kwa mwezi na kuvichambua pamoja, ila nikakumbuka wengine tunaishi sehem sio rahisi kupata vitabu tunavyo vitaka (Pia kuna financial constraint).
  • Wazo la pili ni kumuomba Invisible atufungulie sub-forum la "book review" ambapo tunaweza kujadili vitabu (fiction and non fiction) na articles )preferably scientific) about any topic. Kuna articles zipo posted katika jukwaa zingine (hasa international na siasa) but sidhani ni wazo baya kua na forum maalum ambapo tunaweza kujadili vitabu na articles. tofauti itakua namna ya kujadili articles (not authors as we have seen sommetimes).
Naamini kuna limitations kadhaa katika mawazo haya, na ndio maana nimefungua thread ili members who show interest in books tulete mawazo mengine au tuboreshe haya nimeorodhesha, na tulete the best possible proposal on how we can share our books experiences.

Nimeona Kiranga, Gaijin, Companero (Aliwakilisha list ya Zitto ), Nyani Ngabu, gfsonwin, Zakumi, Bei Mbaya, plankscale, LORDVILLE, Steve Dii, ray05, zumbemkuu, salosalo, Kanigini, Mwanamalundi, EMT, Red Giant, cmoney, BAK, Stephen Mwita, Fikra Pevu, Ibrahim Nzunga na Chamoto walichangia ile thread niliotaja hapo juu, I hope they will like this idea and participate in the proposal of how we would want such a forum to look like.

In advance, asanteni kwa michango.
 
Afadhali tuhamasishane kusoma vitabu aisee. Nimejigundua sisomi vitabu kabisa siku hizi. Nina two very interesting books nimenunua last year na sijafika page 10 ( ila cha Mzee Mwanakijiji nimesoma, boy scout's honor cross my heart and hope to die). Ni kuchit chat tuuu!

Asante kwa wazo zuri, i will push me into this.

Naunga mkono hoja.
 
Last edited by a moderator:
Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.
 
brilliant idea,
nahakika itahamasisha sana watu kusoma vitabu kama King'asti akivyosema hapo.
 
Last edited by a moderator:
Sub-forums ya books ianzishwe.Kwenye zama za e-books imekuwa rahisi ku-share,ku-review na ku-discuss vitabu.Can't wait for this to go through...Kudos for the wonderful suggestion.
 
what an idea!!!!!!!!
brilliant mami Roullete
 
Last edited by a moderator:
Haya ndo mambo ambayo nimekuwa nikiyaota kila siku,
asante sana kwa kuja na idea hii ambayo nadhani itatusaidia
mno...
 
Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.

poa, mimi na wewe tubadilishane vya kifaransa - bado lugha hiyo inanipiga chenga na piga ua lazima niifahamu mwaka huu
 
poa, mimi na wewe tubadilishane vya kifaransa - bado lugha hiyo inanipiga chenga na piga ua lazima niifahamu mwaka huu
No problem. If you have the basics of french and want to improve, the best way is to read the same book in English, then it's french version. It really helps.
 
itasaidia tena sana....japo kwa wengi tumebanwa na shule hata spidi ya kusoma imepungua,naiman hili jukwaa likianza litaokoa wengi ikiwemo mimi pia.....hongera kwa mleta mada...hongera kwa wana jf...
 
Naomba mniweke na mimi,level yangu in french is intermediate karibu na proffesional,nimesoma vingi vya kifaransa but ni academically zaidi,na viwili ni novels.
 
Alter nimesoma thread husika ya Kiranga, ilinifurahisha saana kuwa kuna people who really read books... Hili liliwakilishwa hapa tayari via forum ya Premium membership na mmoja wa members; Na Maxence Melo akaahidi kuwa ni moja ya eneo anaweka sawa... Sijui aliishia wapi na hili.

I am praying kuwa hili sababu alter umeliwakilisha utahakikisha it goes through sababu you are not one to let a project not go through successively or kuishia njiani. Ni vizuri tuanze kwa vitendo, wakati tunasubiri Invisible akituandalia sub forum kwa ajili ya Book reviews a thread inaweza anzishwa hata hili jukwaa ya kutangaza ni kitabu gani ambacho inatakiwa kila ambae yupo interested asome (in case hajakisoma) kwa ajili ya hizo reviews...

Na suggest zinaweza kuwa na three options... Kuwa vitabu vitatu vyenye variety tofauti ili kutoa uwanja mpana. Maana kuna wale wote ambao wanapenda kusoma vitabu but wakawa tofauti types of books they are drawn to (Ingawa strategy ya book review itasaidia pia watu ku side-track from their normal interests to new flavours).

Naunga mkono hili wazo kwa dhati na I have been looking forward to it like forever... Najua hii habari itamfurahisha sun wu, The Boss, Azimio Jipya, WomanOfSubstance (for hao tulishawahi jadili kuhusu mambo ya book reviews). Pamoja Saana.
 
itasaidia tena sana....japo kwa wengi tumebanwa na shule hata spidi ya kusoma imepungua,naiman hili jukwaa likianza litaokoa wengi ikiwemo mimi pia.....hongera kwa mleta mada...hongera kwa wana jf...
tena nyinyi wenye kusoma ndio tunawataka kabisa maana as part of your academic requirement you have to read books and articles.
 
Alter nimesoma thread husika ya Kiranga, ilinifurahisha saana kuwa kuna people who really read books... Hili liliwakilishwa hapa tayari via forum ya Premium membership na mmoja wa members; Na Maxence Melo akaahidi kuwa ni moja ya eneo anaweka sawa... Sijui aliishia wapi na hili.

I am praying kuwa hili sababu alter umeliwakilisha utahakikisha it goes through sababu you are not one to let a project not go through successively or kuishia njiani. Ni vizuri tuanze kwa vitendo, wakati tunasubiri Invisible akituandalia sub forum kwa ajili ya Book reviews a thread inaweza anzishwa hata hili jukwaa ya kutangaza ni kitabu gani ambacho inatakiwa kila ambae yupo interested asome (in case hajakisoma) kwa ajili ya hizo reviews...

Na suggest zinaweza kuwa na three options... Kuwa vitabu vitatu vyenye variety tofauti ili kutoa uwanja mpana. Maana kuna wale wote ambao wanapenda kusoma vitabu but wakawa tofauti types of books they are drawn to (Ingawa strategy ya book review itasaidia pia watu ku side-track from their normal interests to new flavours).

Naunga mkono hili wazo kwa dhati na I have been looking forward to it like forever... Najua hii habari itamfurahisha sun wu, The Boss, Azimio Jipya, WomanOfSubstance (for hao tulishawahi jadili kuhusu mambo ya book reviews). Pamoja Saana.
Alter, hapo in bold ndio first option but it has a limitation. In case tunasema kuna vitabu XYZ, wewe unakipataje ili usome? na kama tutajadili 3 books a week or a month, utaweza kununua 3 books kila mwezi? Labda useme tuanze na threads za review (each book a thread) then tukija kupata hilo jukwaa tunahamisha threads zote huko?
 
In early december nikiorganise my library, nilijishangaa kuona baadhi ya my favourite books hazipo. Nadhani uaminifu na utunzaji wa vitabu ni muhimu. Nimelazimika kuandika vitabu vyangu majina kwa unoko, nikienda kwa mtu nikikikuta nabeba juu juu. Inaudhi sana aisee, pole. Kichukue ukafanye rebinding, itakipa mvuto kwa miaka mingi zaidi.

Mitandao inaniponza, sisomi vitabu kabisa. Lets do this.
Kwa tunao aminiana tunaweza pia kubadili vitabu. Kuna bidada (jina kapuni) nilimpa kitabu changu last year leo kanambia eti cover ilikua poor quality, amejitahidi sana ila cover liliharibika lenyewe.
 
Back
Top Bottom