Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Hi all!Baada ya kusoma thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...2012-the-year-in-books-your-top-ten-list.html nimegundua kua kuna watu wamesoma vitabu nilivyo soma mimi, wengine wamesoma vitabu ambavyo mimi ningependa kuvisoma ila sijabahatika kuvipata, na wengine wamesoma vitabu ningependa kujua vinahusu nini hasa kabla ya kuvitafuta. Nikajikuta natamani kujadili nao kuhusu vitabu hivyo.
Sina shaka kua kuna members wengine walio hisi hivo (could be wrong lakini). So, Nimejaribu kufikiria namna gani tunaweza kujadili vitabu tumesoma na nina mawazo mawili:
Nimeona Kiranga, Gaijin, Companero (Aliwakilisha list ya Zitto ), Nyani Ngabu, gfsonwin, Zakumi, Bei Mbaya, plankscale, LORDVILLE, Steve Dii, ray05, zumbemkuu, salosalo, Kanigini, Mwanamalundi, EMT, Red Giant, cmoney, BAK, Stephen Mwita, Fikra Pevu, Ibrahim Nzunga na Chamoto walichangia ile thread niliotaja hapo juu, I hope they will like this idea and participate in the proposal of how we would want such a forum to look like.
In advance, asanteni kwa michango.
Sina shaka kua kuna members wengine walio hisi hivo (could be wrong lakini). So, Nimejaribu kufikiria namna gani tunaweza kujadili vitabu tumesoma na nina mawazo mawili:
- Wazo lakwanza lilikua kuchagua vitabu kadhaa kwa mwezi na kuvichambua pamoja, ila nikakumbuka wengine tunaishi sehem sio rahisi kupata vitabu tunavyo vitaka (Pia kuna financial constraint).
- Wazo la pili ni kumuomba Invisible atufungulie sub-forum la "book review" ambapo tunaweza kujadili vitabu (fiction and non fiction) na articles )preferably scientific) about any topic. Kuna articles zipo posted katika jukwaa zingine (hasa international na siasa) but sidhani ni wazo baya kua na forum maalum ambapo tunaweza kujadili vitabu na articles. tofauti itakua namna ya kujadili articles (not authors as we have seen sommetimes).