Proposal: books review threads

Nimeifuatilia hii thread mkuu kwa muda mrefu.
"A reflection of how our institutions work"

Labda mimi na wewe tuanzishe book club, wengine wanaweza kuingia ... ni PM otherwise tutasubiri porojo tu.

Very true...imekuwa muda sasa.Have just PM-ed you.
 
kwa asie jua faida ya kusoma vitabu jamani ajaribu na ajikaze, najiona kama vile nazaliwa upya, ila swali langu wadau

1. natakiwa nimalize kitabu kwa muda wa siku ngapi recommended speed
2. je hata vitabu vya zamani au inafaa vipya tu? mf vya kina achebe?
 
Hii thread haikuwa na ownership, so imekufa bila kufikia maamuzi ni kitu gani kifanyike
 

Jaribu kutafuta hapa: en.bookfi.org
Ukikosa utujuze, itasaidia kujua hii website ina wingi wa vitabu kwa kiasi gani.


Vp hiyo book club mmeshaianzisha?

Kuna group linalofanania.
Linaweza kuanzishwa group la review za vitabu kama kupata sub-forum imekuwa ngumu.
Uzuri wa group linaweza kuji-moderate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…