M Malova JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 784 Reaction score 228 May 19, 2011 #1 education and discipline are direct propotional . shule au wanafunzi wenye nidhamu ndio wanaofanya vizuri. nidhamu inaweza kuwa ktk muda, kwa walimu au wanafunzi, wazazi nk
education and discipline are direct propotional . shule au wanafunzi wenye nidhamu ndio wanaofanya vizuri. nidhamu inaweza kuwa ktk muda, kwa walimu au wanafunzi, wazazi nk
G gracious86 JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 437 Reaction score 54 May 20, 2011 #2 ni kweli kabisa! Ila sijakupata vzr hapo kwamba nidhamu inaweza kuwa ktk muda kwa walimu au wanafunzi na wazazi! Ulikuwa una maanisha nn mkuu?
ni kweli kabisa! Ila sijakupata vzr hapo kwamba nidhamu inaweza kuwa ktk muda kwa walimu au wanafunzi na wazazi! Ulikuwa una maanisha nn mkuu?