Propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta

Propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Poleni na mihangaiko,

Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta.

Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie.

Ahsanteni.
 
Poleni na mihangaiko,

Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta.

Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie.

Ahsanteni.
Meneja umesema umefanikiwa na mimi naomba sample tafadhali, Watz hatunyimani fursa Nigeria ndiyo wananyimana. Nitumie sample kwy majwalaoriko@yahoo.co.uk
 
Back
Top Bottom