Prospecting License ina manufaa gani?

Prospecting License ina manufaa gani?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Naombeni majibu tafadhali!
1. Mtu asiye na taaluma ya madini anaruhusiwa kumiliki leseni ya aina hiyo?

2. Utafiti wake utamnufaishaje?

3. Endapo utafiti wake utamwezesha kugundua mahali penye madini, ataruhusiwa kuiupgrade liseni yake ili aweze kulimiliki hilo eneo kwa ajili ya uchimbaji?
 
Back
Top Bottom