Protect us from Tanzania, Kenyan Traders cry out.

Don YF

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
10,494
Reaction score
9,854
Kati ya Kenya na Tanzania nani mwenye wivu na chuki?., kila uchao inadhihirika kuna pepo(shetani) la ubinafsi, chuki na unafiki Tanzania; ndani ya serikali na kwa raiya wake. Mfano, waimbaji wa Rwanda walio imba "kwetu pazuri" walipata ajali mbaya Tanzania, baadhi yao walifariki, watanzania hawakuwasaidia hata!!, usaidizi ulitumwa kutoka Rwanda na serikali yao, hili lilikera Rwandans, yule aliye nielezea ni muRwanda alie shangazwa sana, raiya wanao ishi karibu na mahali pa ajali hawaezi shughulika! kama inavyo kua kawaida. Baada ya hayo kina mama kutoka Kenya walikua wakisafiri kuelekea kwa mkutano wa kikanisa Tanzania, basi lao likapata ajali mbaya Tanzania, on the news the women walishangazwa sana, raiya wa Tanzania walitaka pesa ili watoe usaidizi! LAANA!
Mwaka jana basi ya Tanzania ilipata ajali mbaya salgaa after Nakuru, if you watched the news, raiya waliwashughulikia and ambulances from the county government rescued them and took the injured to the hospital.
Swali langu ni hili; nani aliwaroga watanzania na Tanzania?., wimbo wa taifa na tabia yao ni oxymoron!
Angalia tabia yenyu, sasa wakenya wengi na majirani wameanza kuwafahamu sijui mtaishi na nani!

From this news who is the problem?.,
nation.co.ke Aug 12, 2018 2:04 PM

Last week saw irate Kenyans block the road to Namanga, claiming harassment by Tanzania authorities following the arrest of three milk traders. FILE PHOTO | NMG
That Kenya and Tanzania have not always been good neighbours is not a secret. Business rivalry between traders on both sides of the border continues to play out. Never mind the customs union that guarantees free movement of good and labour.

At the middle of the schism are customs officials who are accused of fanning an already raging fire.

A senior government officer at the Namanga border point, who could not be named fearing reprisals, told the Sunday Nation that Tanzanian authorities have been overzealous in protecting their business territory, taking advantage of Kenyans’ hospitality.

“We feel our Kenya government is reluctant to protect her citizens from her hostile neighbour. We demand government protection,’’ said Mr Stephen Korinko, a trader in Namanga.

And after seeing their cattle auctioned and chicken incinerated, residents are now taking matters into their own hands.

Trade disruptions witnessed at Namanga and Loitoktok border points have seen Kenya exports to her neighbour fall.

However, Prof Gerishon Ikiara, a development and policy economist and lecture at the university of Nairobi, says the regional trade balance between the two can only be realised when all countries implement the signed trade protocol.

Ikiara says Tanzania is the biggest beneficiary from East African Community headquarters in Arusha, making it a business hub and the fastest growing town in the region.

“Kenya should address the problem through serious diplomatic protests involving other East African Community states. Also the country may move to the East African Court of Justice,’’ said Prof Ikiara.

Last week saw irate Kenyans block the road to Namanga, claiming harassment by Tanzania authorities following the arrest of three milk traders.

For three days, traders in the town incurred big losses and foreign tourists entering Kenya were blocked with some changing their route or postponing their trip altogether.

Over the years Kenya has provided a market for Tanzania goods. Over 100 trailers ferry products across the border including fresh produce. A huge number of Tanzanian traders operate in Kenya, for example the second-hand clothes dealers at Gikomba.

During the last two years, the business relationship has been frosty with Tanzania tightening their noose on Kenyan traders despite the bilateral free trade agreement, placing them at a disadvantage.

Kenyan traders have often accused Tanzania immigration agents of mistreatment, sparking the recent protests at the border point.
 
Asikudanganye mtu, watanzania huwa hawana bifu wala chuki na jirani zao. Ila kuna mijitu fulani inaitwa fisiemu, akili zao zote zinakuwaga ni collabo ya zero na zero nyingine kadhaa.
 
Asikudanganye mtu, watanzania huwa hawana bifu wala chuki na jirani zao. Ila kuna mijitu fulani inaitwa fisiemu, akili zao zote zinakuwaga ni collabo ya zero na zero nyingine kadhaa.
fisiem wanachuki Ila chadomo wanamioyo Safi utapata tabu Sana Maana post yako tu ni chuki
 
fisiem wanachuki Ila chadomo wanamioyo Safi utapata tabu Sana Maana post yako tu ni chuki
[emoji1][emoji1][emoji1] Mnaondeleza chuki ni nyinyi mnaoshabikia huu upuzi. Mlianza kwa kuingia kichwa kichwa na kiherehere chenu kwenye uchaguzi wetu wa urais. Mlisahau hii ni ile ngoma ya kuserebuka kwa zamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…